Kama siyo wadhifa wake, huyu naye angechukuliwa kimafia!

Huyu naye kule bandarini anahusika. Kuitwa kwake ni baada ya kijana yule kumtaja kwenye kumsaidia kule bandarini. Kama siyo wadhifa angechukuliwa kimafia.

Wapo pia dada yake kwa pamoja wana dili kule Singida "Wanasaplai" raw materials. Alitajwa na kijana yule kama msaada kwake.

Kinachofuata atatumbuliwa kisha ataundiwa zengwe. Mwisho wake umewadia.Biashara "kwishney" mambo mpelampela familia inaanguka. Kijana yule kajipangaje? Waajiriwa je?

Swali langu la kila siku. Kwanini wanawachukua kimafia?
Hili fumbo vipi
 
Acha iwe hivyo ikiwezekana wakitumbuliwa na passport wanyang'anywe kabisa, wafirisiwe maana 98% ya maisha yao wametia hasara wananchi masikini, wawekwe kizuizini kwenye vijiji vyao na waripoti kwa mabalozi wa nyumba kumi na Afisa usalama wa wilaya wakitaka kutoka kijijini. Hii mbinu inaweza kuwa fundisho kwa wote..
 
Huyu naye kule bandarini anahusika. Kuitwa kwake ni baada ya kijana yule kumtaja kwenye kumsaidia kule bandarini. Kama siyo wadhifa angechukuliwa kimafia.

Wapo pia dada yake kwa pamoja wana dili kule Singida "Wanasaplai" raw materials. Alitajwa na kijana yule kama msaada kwake.

Kinachofuata atatumbuliwa kisha ataundiwa zengwe. Mwisho wake umewadia.Biashara "kwishney" mambo mpelampela familia inaanguka. Kijana yule kajipangaje? Waajiriwa je?

Swali langu la kila siku. Kwanini wanawachukua kimafia?
Mkuu una mengi sana ya bandarini bila shaka unafanya kazi huko au una madili ya mandarini.
 
Huyu naye kule bandarini anahusika. Kuitwa kwake ni baada ya kijana yule kumtaja kwenye kumsaidia kule bandarini. Kama siyo wadhifa angechukuliwa kimafia.

Wapo pia dada yake kwa pamoja wana dili kule Singida "Wanasaplai" raw materials. Alitajwa na kijana yule kama msaada kwake.

Kinachofuata atatumbuliwa kisha ataundiwa zengwe. Mwisho wake umewadia.Biashara "kwishney" mambo mpelampela familia inaanguka. Kijana yule kajipangaje? Waajiriwa je?

Swali langu la kila siku. Kwanini wanawachukua kimafia?
Baada kugonga ukuta wa koromije bila mafanikio sasa mnarudi tena kule kule mlikoshindwa enzi za mzungu. Bumbuli sio kwa kujaribu kule ni bora mkajaribu hai.
 
Wajuvi walitambua toka mwanzo! Enzi za ile post ya mtu alokuwa shimoni kisha akaamua kuichoma ngazi ili ajistiri kwa baridi! Mda ni mwalimu mzuri sana
Yaani wewe ndo umenizindua nilikuwa bado nipo gizani
 
Huu uzi umefanya nifikilie kitu ambacho wengi labda hamjakiona

Kama kweli ma rope alifata wataalamu Gambia kwa ajili ya kampeni

Basi huenda ugonjwa wa mzee ma mvi ulikua ni sababu hii.
Labda kweli anaumwa ila yale matukio mara ashushe mzigo kwenye suruali itakua alipigwa mchezo na dr wa Gambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom