Kama simu yako ni original chora huu mstari

Sasa fanya hv, angalia mtu aliecoment mstari wenye rangi alafu fanya kama una replay utaona alichokifanya na wewe fanya kama alivyo fanya yy
Shukrani kwa ku-share ila hadi nitakaposhindwa mwenyewe ndo nitafanya hivyo mkuu...nachekecha ubongo kama nilivyofanya kwenye kuchora mstari kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom