Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,204
- 1,077,387
I don't regret it. Actually, it is one of the best decisions that I have ever made in my life!Why uli mu divorce do you regret?
I don't regret it. Actually, it is one of the best decisions that I have ever made in my life!Why uli mu divorce do you regret?
Pole ya nini mkuu? Ulikuwa ni uamuzi sahihi mno!Pole
Pole na congratulations kikubwa amani ya moyo kuliko kung'angania kituI don't regret it. Actually, it is one of the best decisions that I have ever made in my life!
Mimi nahitaji mwanamke challenging kama wewe cariha. Wengine hawa wananiboa tu. Mwanamke ngangari kama wewe ndo kitaeleweka ng'wanawane. Kama uko tayari niPM tulianzishePole na congratulations kikubwa amani ya moyo kuliko kung'angania kitu
Nememuuliza wife hapa kaishia kuguna sasa sijui anamaanisha nini?Kichwa cha habari chahusika.
Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?
Ndio maana yakeRaha mkiendana
🤣Sio kama hiiHiyo raha yenyewe sasa View attachment 1877726
. I have my fingers crossed hapa mkuu. Nasubiria jibu. Ila ninavyomfahamu huyo malaika si ajabu nikaishia kupewa za uso kwa maneno makali na maonyo kadhaa.SyB uko vizuri mkuu!
Mkuu tuishie hapa. Akija hapa tunaweza kugombeshwa sana. Leave my baby alone pleaseukiona humu mambo sio zama ndani huko uanze upya, cariha is very understanding
Hahaha, sawa mkuu!Mkuu tuishie hapa. Akija hapa tunaweza kugombeshwa sana. Leave my baby alone please
Hii tabia ya watu kuja kuuliza watu maswali ambayo wao wenyewe hawatoi experience yao nayo ni hali ya 'unyapara'
anataka kuhalalisha maamuzi yake kupitia ushahidi wa hapa jf
Mkuu rudisha ile profile photo, nilihisi mtu mwingine amevamia akaunti.Mkuu tuishie hapa. Akija hapa tunaweza kugombeshwa sana. Leave my baby alone please
Word.Unaweza kusema "nireteeni" mwingine huyu namuacha kisa tu hamuelewani vitu vidogo vidogo, ukaletewa zigo la misumari hata kulinyanyua huwezi.
I'd still marry her regardless!
Hapo sasa.Halafu failures zake za ndoa analaumu warumi
Yeye kafeli kwenye ndoa why blame others hata watu wakiruhusiwa waoane hovyo hovyo tu usipobadilika Napo waona nogwa tu.Hapo sasa.