Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #221
ha haaaa, siku hizi vipara tunaulizwaga kama kweli tunataka kumlilia huyo mtu, si unajua mashari yake?chezea nguo nyesui na kipara full suti!
we acha bana!
ha haaa, umenichekesha sana my dear....Ndo mtajua maana ya kuwa na mashosti kila angle. Mtoto wa kike mjini lazma uwe na shosti wa kukukopesha hata kope, viatu, pochi, wigi etc. Usisahau sehemu za huduma kama kukopa besdei party (unaenda kujimwaya mwaya utalip mwisho wa mwezi...tena masakiii). Huduma ya pedicure na ya kurembwa uso inahusika. Anadaiwa reginald mengi seuze mie?
ha haaa, umenichekesha sana my dear....
yaani nikope kwa ajili ya kope?
kwani hizi alizonipa Mungu zina tatizo gani?
marangu kwa mara nyingine, msiba wa baba ya rafiki yangu/mwanachama mwenzangu, nipo nae kwenye kikundi, hii nayo ilikuwa funga kazi,tumetoka KCMC kuchukua mwili tukisindikizwa na tarumbeta, pale home kuna mahema ya kutosha, msiba unafatiliwa kwa njia ya projector, kila hema lilikuwa na meza kubwa ya kila aina ya vinywaji, bufee zilikuwa za kutosha, tumefika nyumbani MC anatuongoza kwa kwaya tu,(tenzi za rohoni hazina nafasi siku hizi) tuliimba kichaga kidogo wakati wakienda kuzika,makaburini walienda familia/ndugu wa karibu sana, wengine tuliendelea kufatilia na projector huku wahudumu wakiwasikiliza mnatumia vinywaji gani,rafiki yetu huyo anawatuma wahudumu "unaowana walee waliovaa sare za purple ni kikundi changu cha arusha, kuna wanaokunywa ballantin, amarula, savannah wasikilizwe kila mmoja anachotumia apatiwe", tumemaliza msiba rafiki yetu karudi arusha tumeenda kumpa pole akatuambia msiba ulitumia 22mil.
sasa hizo zako za kingoni zinacheza cheza dada mkubwa!
ah kitu cha mchozi msibani kiwe ndani ya kope za kubandika bana!jicho linakuwaje nyaaaanya!af hata picha za msiba zinatokea vizuri ujue!yani uso unakuwa mcutiiiiiii!
sweetheart ukipata msiba kama huu unipage kadi twende wote! na sisi tutakuwa na sare yetu!lol!marangu kwa mara nyingine, msiba wa baba ya rafiki yangu/mwanachama mwenzangu, nipo nae kwenye kikundi, hii nayo ilikuwa funga kazi,tumetoka KCMC kuchukua mwili tukisindikizwa na tarumbeta, pale home kuna mahema ya kutosha, msiba unafatiliwa kwa njia ya projector, kila hema lilikuwa na meza kubwa ya kila aina ya vinywaji, bufee zilikuwa za kutosha, tumefika nyumbani MC anatuongoza kwa kwaya tu,(tenzi za rohoni hazina nafasi siku hizi) tuliimba kichaga kidogo wakati wakienda kuzika,makaburini walienda familia/ndugu wa karibu sana, wengine tuliendelea kufatilia na projector huku wahudumu wakiwasikiliza mnatumia vinywaji gani,rafiki yetu huyo anawatuma wahudumu "unaowana walee waliovaa sare za purple ni kikundi changu cha arusha, kuna wanaokunywa ballantin, amarula, savannah wasikilizwe kila mmoja anachotumia apatiwe", tumemaliza msiba rafiki yetu karudi arusha tumeenda kumpa pole akatuambia msiba ulitumia 22mil.
Hahahaha. Kope zicheze kama mdoliii. Muambie dadako aache ushamba. Afu asisahau kukopa mascara na eye shaddow. Shurti utokee kama paka shume. Hivi huyu dadako anajua kuna dhahabu za kuazima ukavae msibani? Mchangamsheni jamani.
ha haaaa, karibu yataenea kooote, maana si ndo hawa hawa tunaishi nao huko mijini?
mwenzangu itabidi nihudhurie....FP umeshawahi hudhuria misiba ya wachaga itabidi siku moja ufunge safari uende moshi kabisa.Mwe siku moja na ushamba huu nimeenda msibani naambiwa kuna sare za kanga hao tukanunua mie nikauliza hizi ndizo twavaa kesho nilichojibiwa mama kesho ni mwendo wa suti nyeusi iyo kanga wakunja kutupia begani ukipata vimachozi ndio unajifuta kidogo nikabaki hee, kila mtu akaanza kuchambua kabatini ana nn cha kupigilia.
hapo naona tutakuwa tumeangalau zungukia matawi makubwa ya moshi, lol!
anaenda kulipa kisasi uchagani????hapo naona tutakuwa tumeangalau zungukia matawi makubwa ya moshi, lol!
na sisi sijui tutapata muwapi?
hivi nilikuwambia yule the only bro karibia atatutambulisha mtarajiwa? cross your fingers na uanze kujiandaa kikamilifu.....
ndo sina uhakika mlongo wangu.....anaenda kulipa kisasi uchagani????
huwaga nikihudhuria kwenye msiba, ile wafiwa wanavyoomboleza, inanishindaga kabisa, na mie ntaliaaa haswaa, kuna mdogo wake na rafiki yangu alifiwa na kababy kake ka mwaka na miezi kadhaa, hapa ilikuwa ishu, jamani huu msiba ulikuwa kiboko,hao waombolezaji/wafiwa hawakamatiki, wanalia kwa uchungu kwa mwanamke uliezaa unafanya kushika tumbo mana unasikia kabisa tumbo la uzazi linavyouma, hapa nililia haswaaa, nilifika home macho yamenivimba sina nguvu kabisa, lakini huu msiba wa marangu nilitoka sijatoa hata kachozi sana sana nililewa, haahhaha nafika home msukuma ananiuliza kama nimetoka kuzika au nilishinda bar, hahaha, hapa ndio niliona hizo miwani za kuchomelea,watoto wa kike hatuoni nyuso zao zimezibwa na mawani hayo, wa kiume nao wa kishua zaidi, msiba ulikuwa na kila aina ya manjonjo!sweetheart ukipata msiba kama huu unipage kadi twende wote! na sisi tutakuwa na sare yetu!lol!
ha haaaa, ndo utualike siku nyingine rafiki na sisi watoto wa kingoni tukaone swaga za huko kwenu.......huwaga nikihudhuria kwenye msiba, ile wafiwa wanavyoomboleza, inanishindaga kabisa, na mie ntaliaaa haswaa, kuna mdogo wake na rafiki yangu alifiwa na kababy kake ka mwaka na miezi kadhaa, hapa ilikuwa ishu, jamani huu msiba ulikuwa kiboko,hao waombolezaji/wafiwa hawakamatiki, wanalia kwa uchungu kwa mwanamke uliezaa unafanya kushika tumbo mana unasikia kabisa tumbo la uzazi linavyouma, hapa nililia haswaaa, nilifika home macho yamenivimba sina nguvu kabisa, lakini huu msiba wa marangu nilitoka sijatoa hata kachozi sana sana nililewa, haahhaha nafika home msukuma ananiuliza kama nimetoka kuzika au nilishinda bar, hahaha, hapa ndio niliona hizo miwani za kuchomelea,watoto wa kike hatuoni nyuso zao zimezibwa na mawani hayo, wa kiume nao wa kishua zaidi, msiba ulikuwa na kila aina ya manjonjo!
ha haaaa, ndo utualike siku nyingine rafiki na sisi watoto wa kingoni tukaone swaga za huko kwenu.......
sisi utatuandalia fanta passion na mirinda nyeusi tu.... au hizo hazipatikani shosti?
cc. snowhite
hata mi sijui!strawberry lips ndo tunda gani mdogo wangu?
ha haaa, utakamatwa..... shauri yakohata mi sijui!
NILISEMA TU!