Kama si ufisadi ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama si ufisadi ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gbardenm, Oct 6, 2010.

 1. g

  gbardenm New Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NINAILETA KWENU WANAJAMVINI MUOINE NIMEIPATA SEHEMU NIKAIONA NIIRUSHE HAPA, TAZAMA NA HIYO ATTACHMENT:


  Hiyo ni Profoma invoice ambayo mwenyekiti wa kampeni za kikwete (A. Kinana) ame-present kwa waandishi wa habari kama ushahidi kwamba ndege ya serikali ambayo Dr. slaa amemtishia mama kikwete kuitumia kwa matumizi ya kumkampenia mumewe. Kinana anadai CCM iliikodi hiyo ndege ya serikali kihalali. Ichunguze na uisome kwa makini kisha tafakari haya machache
  idara ya ndege za serikali (Tanzania Government Flights Agency) haina mamlaka ya kukodisha ndege zake kwa matumizi nje ya serikali. Je, nani anawajibika kwa ukiukwaji huu wa mamlaka? Kinana amesema, idara imekuwa ikikodisha ndege kwqa watu binafsi tangu zamani, je, nani aseme hilo-yeye au CEO wa hiyo idara? Je, wako tayari kutoa takwimu za nani na nai kakodi hizo ndege baada ya kuonyesha mamlaka ya kukodisha ndege? au biashara imeanza baada ya Dk Slaa kulipua hilo bomu?
  matumizi ya dola za kimarekani 3000 kwa saa kwa masaa matano (jumla dola 15,000 sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania mil. 20) kwa mama kikwete si anasa? kwa kazi gani hasa? mama kikwete ni nani hata CCM iingie gharama kubwa hivyo?
  serikali siku zote imekuwa ikikataza matumizi ya fedha za kigeni kwa malipo (transactions) yoyote hapa nchini, kwa nini hawjafanya wanachohubiri?
  ukisoma hiyo invoice inaonyesha imetolewa tar. 28/8 na malipo yakafanyika tar. 31/8 (siku 3 baadae), je ni utaratibu kuchukua mzigo kabla ya malipo? tarehe ya profoma invoice kutolewa (28/8/2010) ndio tarehe anayotuhumiwa mama kikwete kutumia hiyo ndege, je, profoma ilitolewa siku hiyohiyo na ndege kutumika siku hiyohiyo?
  ni kiwewe au Mungu katufunulia kwa mtu mzito kama CEO (aliyeandika hiyo invoice) kukosea mara tatu kwenye hati moja kuandika USD 15,000 /=? maana alama ya /= inamaanisha shilingi ya kitanzania sasa which is which;shilingi 15,000 au dola 15,000?
  ikumbukwe kwamba Kinana ana rekodi chafu sana ya ufisadi na biashara haramu (jamaa ni msomali na wasomali wanajulikana kwa magendo). Juzijuzi, meli yake imekamatwa na shehena kubwa ya meno ya tembo huko mashariki ya mbali-eti akajibu "meli yake lakini mzigo si wake"
  Watanzania wenzangu tuzinduke...nchi inatafunwa...inafilisiwa na kikundi cha watu wachache (syndicate). Hii si consipiracy theory ni hali halisi. Tusimame kuikomboa nchi yetu. Waliotutanglia waliikomboa toka kwa mkoloni mzungu...ni zamu yetu kuikomboa toka kwa mkoloni wa kitanzania (CCM)!!!
  Kwa ushahidi alioutoa Kinana, CCM imeonyesha ni mabingwa wa
  1. anasa (milioni 20 kwa masaa matano kwa Salma kwa ajili ya ulaji wa mumewe)
  2. kufoji hata risiti
  Nakusihi sambaza hii e-mail japo kwa watanzania watano wenye uchungu na nchi yao.
  Pia, tarehe 31 Oktoba usiwe na sabau yoyote ya kuacha kupiga kura!!!
   

  Attached Files:

 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Hatari sana total forgery.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Naamini mpambanaji wetu dr.slaa ameipata tutashirikiana naye kuwagalagaza hawa waasia na wasomali ambao wamemweka kikwete na serikali mfukoni..........
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  Jamani hatuhitaji usahidi mwingine suala hili Chadema walifikishe kwa Msajili wa vyama vya siasa tusikie atajikanyaga vipi?

   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nIMEKUELEWA MKUU KWA KWELI NI MAKOSA MAKUBWA SAANA WANAYOFANYA HAWA JAMAA NDO MAANA SITAWAONEA HURUMA TAE 31
   
Loading...