Kama samaki vile...

Kama samaki vile...

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
577324_507288096007589_1499982097_n.jpg
 
Amenikumbusha mbali dogo,hapo ukirudi nyumbani umepauka,mambo ya boriti-bajia,nije kumshika nani-nyani,nije nisije njoo.Ila katika kuogelea kuna staili ilikua inanitatiza inaitwa mk juu
 
Alivyoruka mwenyewe hapo atakwambia kama VAN DAME vile.
 
haa... haaa.....dogo anawaonyesha wenzake ufundi..
 
Imenikumbusha mbali, basi unarudi umepauka na hapo mother anajua umetoka kuogelea na unakatazwa kuogelea, kinachofuata ni mbata za ngumu halafu unapewa chakula unakula huku umeshikwa na kwikwi ya hasira ya kichapo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom