Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Mstahiko meya asiyejua taratibu na kuzifuata?Tulikuwa hatujazoea kusikia Mstahiki MEYA anakamatwa, lakini tokea Wapinzani walipojipatia nafasi hizo, sasa tumeanza kushuhudia Mameya wakikamatwa hovyo, kudhalilishwa. utashangaa wanaccm wanasisitiza heshima kwa "kiti" cha spika, "kiti" cha Rais, wanawataka wapinzani "waheshimu" nafasi hizo. hata Waziri wa Sheria, Kabudi, anapenda sasna kusisitiza hilo. na ni hoja nzuri tu. lakini kwanza hicho wanachoona kinakiukwa ni kule tu kuwakosoa. hawataki kabisa viongozi wa CCM na serikali wakosolewe. lakini basi hata kama ni kuheshimu nafasi, mbona za wapinzani haziheshimiwi?
Tulikuwa hatujazoea kusikia Mstahiki MEYA anakamatwa, lakini tokea Wapinzani walipojipatia nafasi hizo, sasa tumeanza kushuhudia Mameya wakikamatwa hovyo, kudhalilishwa. utashangaa wanaccm wanasisitiza heshima kwa "kiti" cha spika, "kiti" cha Rais, wanawataka wapinzani "waheshimu" nafasi hizo. hata Waziri wa Sheria, Kabudi, anapenda sasna kusisitiza hilo. na ni hoja nzuri tu. lakini kwanza hicho wanachoona kinakiukwa ni kule tu kuwakosoa. hawataki kabisa viongozi wa CCM na serikali wakosolewe. lakini basi hata kama ni kuheshimu nafasi, mbona za wapinzani haziheshimiwi?
Mstahiko meya asiyejua taratibu na kuzifuata?
Mkuu kaisome vizuri sheria ya vyama vya siasa utaelewa kuwa CCM ni chama kikuu cha siasa, na kwahiyo upinzani ni jina tu lakini hivi ni surpotive parties na hata ukiangalia itikadi zao hazitofautiani kabisa na CCM!Nasikia uchungu sana kwa nchi yangu Tanzania.
Imefikia mahali hata kama hujihusushi na mambo ya siasa, utaudhiwa na hujuma za wazi wazi zinazofanywa na serikali dhidi ya vyama vya upinzani nchini, nikiamini hujuma hizi zikiwa ni kwa shinikizo la CCM na hata kuchochewa na Raisi Magufuli mwenyewe.
Raisi Magufuli, kama alivyodai yeye mwenyewe, hawezi kukwepa kuwa raisi wa Watanzania wote, walio CCM, walio upinzani na hata wale wasio jihusisha na siasa. Kila mtu anajua kwamba kuna wakati Raisi Magufuli amefikia kutoa kauli zinaonyesha kwamba anaona mtu yeyote aliye kwenye chama cha upinzani kuwa adui.
Watanzania tunashuhudia kila siku hali ya "mpambano" ambao uko nje kabisa ya hali ya kawaida ya upinzani wa kisiasa, kati ya CCM na vyama vya upinzani. Kwa kuwa CCM ndio chama kilichoko madarakani, ni wazi kabisa mara nyingi "mpambano" huu huzaa hali ya kuonewa na kunyanyaswa kwa wale walio vyama vya upinzani. Hili hutokea ndani na nje ya Bunge, na hata katika nyanja za Majiji, Halmashauri na serikali za mitaa kwa ujumla. Na mbaya zaidi, vyombo vyetu vya usalama, pamoja na TISS na Polisi, wamekuwa wakiingizwa katika mpambano huu na kuharibu kabisa uhusiano wao na raia. Wakati fulani hata kumekuwa na jitihada za kujaribu kuwaingiza JWTZ.
Hali hii haipendezi kabisa kwa nchi yetu, na inatia aibu na kinyaa kuona watu wa uongozi wa juu hata ngazi ya raisi wakifanya kila wawezalo kuhujumu vyama vya upinzani.
Na tuseme wazi basi, kama Raisi Magufuli na CCM kwa ujumla wanaona kwamba kwa sasa hali ya vyama vingi vya siasa haifai kwa nchi yetu, basi waliweke hili wazi, ili tuamue na ikibidi kufanya referandum kuamua kuondoa mfumo wa vyama vingi na kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja au la.
Tupo wengi ambao ukweli ni kwamba tungependa kuona nguvu za viongozi shupavu na makini walioko CCM na vyama vya upinzani kama CHADEMA, CUF, ACT, NCCR nk zikiunganishwa ili kuendeleza nchi yetu. Sasa kama hili haliwezekani chini ya mfumo wa vyama vingi, basi ni bora tutafakari upya kama ni bora kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja na kuwa nguvu moja.
Mkuu kaisome vizuri sheria ya vyama vya siasa utaelewa kuwa CCM ni chama kikuu cha siasa, na kwahiyo upinzani ni jina tu lakini hivi ni surpotive parties na hata ukiangalia itikadi zao hazitofautiani kabisa na CCM!
Synthesizer,
Pole kwa maumivu unayopata . . Huu upumbavu huu unaofanywa na CCM kwa kushirikiana na DOLA . . , unaendelea kuzalisha chuki mbaya sana ktk Taifa hili . .
Ni kama nchi inatawaliwa na wakoloni hivi, watu wazima wanaswaga tuu kama ng'ombe . . , viongozi waliochaguliwa na watanzania wananyimwa haki yao ya Kikatiba ya kuongoza watu wao kwa uhuru . .
Tazama makatazo ya kufanya mikutano ya kisiasa yanavyowabana vyama vya upinzani tuu, lakini maandamano ya kumuunga mkono Mwenyekiti wa ccm RUHKSA . . Tazama wakuu wa Wilaya na Mikoa walivyo MIUNGU WATU . . , wao wanaweza kumtia ndani yeyote kwa amri hata ya kilevi tuu . . Tunakwenda wapi Watanzaniaaa . . ?!
Matendo haya ya ukiukwaji wa haki za utawala bora, haki za binadamu, ni DHARAU KUBWA sana inayoonyeshwa na CCM kwa wapiga kura wa Tanzania . .
Hii ni namna ya ccm kupeleka ujumbe kwa watanzania kuwa, MKITUCHAGUA au MSIPOTUCHAGUA bado tutawatawala kimabavu tunavyotaka . . , hakuna wa kutuwajibisha . .
Tujiulize watanzania, hawa wakuu wa Wilaya na Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji , ni viongozi tuliowachagua sisi . . ???!
Kama sio, jee kwa nini wao ndio wenye NGUVU kuliko viongozi wetu (wabunge,madiwani, ma Meya) tuliowachagua sisi kwa KURA zetuuu . . ?!
Kwa nini Baraza la madiwani linazidiwa nguvu na MTU mmoja, Mkuu wa Wilaya/Mkoa, ambaye hakuchaguliwa na wananchi . . ??!
Kwa nini Mkuu wa Wilaya/Mkoa awe na mamlaka ya kuwatia ndani Wabunge wetu, madiwani wetu, ma Meya wetu hata bila sababu ya maana . . ??!
Hii inaudhi sana, ni UDHALILISHAJI wa wazi kabisa wa wananchi waliosimama juani masaa 8 na zaidi kuwachagua viongozi wawapendao . . !
Haya mambo hayakubaliki na wala hayavumiliki kwa MTU mzima yeyote mwenye akili yake timamu . . !
Mbegu wanayoipanda karibu inaota wasifikiri kwamba Tanzania ipo mbinguni tunaomba mungu apishie mbali.Lakini hawatakwepa lawama.Labda wanatengeneza uraisi wa maisha.
Mstahiko meya asiyejua taratibu na kuzifuata?
Mimi ni mwana CCM ninayejitambua na ninayeitakia mema nchi yangu.I understand your concern brother na nadhani viongozi wetu wajuu chamani watalielewa hili na kulifanyia kazi. Kwa bahati nzuri Rais wetu analielewa hili vizuri sana.Wenye shida mimi naona ni hawa viongozi wetu wana Chama wa ngazi za chini.Ila point taken brother. Hii confrontational behavior haitatusaidia sana kwenye maendeleo yetu,ni lazima ikomeshwe.Nasikia uchungu sana kwa nchi yangu Tanzania.
Imefikia mahali hata kama hujihusushi na mambo ya siasa, utaudhiwa na hujuma za wazi wazi zinazofanywa na serikali dhidi ya vyama vya upinzani nchini, nikiamini hujuma hizi zikiwa ni kwa shinikizo la CCM na hata kuchochewa na Raisi Magufuli mwenyewe.
Raisi Magufuli, kama alivyodai yeye mwenyewe, hawezi kukwepa kuwa raisi wa Watanzania wote, walio CCM, walio upinzani na hata wale wasio jihusisha na siasa. Kila mtu anajua kwamba kuna wakati Raisi Magufuli amefikia kutoa kauli zinaonyesha kwamba anaona mtu yeyote aliye kwenye chama cha upinzani kuwa adui.
Watanzania tunashuhudia kila siku hali ya "mpambano" ambao uko nje kabisa ya hali ya kawaida ya upinzani wa kisiasa, kati ya CCM na vyama vya upinzani. Kwa kuwa CCM ndio chama kilichoko madarakani, ni wazi kabisa mara nyingi "mpambano" huu huzaa hali ya kuonewa na kunyanyaswa kwa wale walio vyama vya upinzani. Hili hutokea ndani na nje ya Bunge, na hata katika nyanja za Majiji, Halmashauri na serikali za mitaa kwa ujumla. Na mbaya zaidi, vyombo vyetu vya usalama, pamoja na TISS na Polisi, wamekuwa wakiingizwa katika mpambano huu na kuharibu kabisa uhusiano wao na raia. Wakati fulani hata kumekuwa na jitihada za kujaribu kuwaingiza JWTZ.
Hali hii haipendezi kabisa kwa nchi yetu, na inatia aibu na kinyaa kuona watu wa uongozi wa juu hata ngazi ya raisi wakifanya kila wawezalo kuhujumu vyama vya upinzani.
Na tuseme wazi basi, kama Raisi Magufuli na CCM kwa ujumla wanaona kwamba kwa sasa hali ya vyama vingi vya siasa haifai kwa nchi yetu, basi waliweke hili wazi, ili tuamue na ikibidi kufanya referandum kuamua kuondoa mfumo wa vyama vingi na kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja au la.
Tupo wengi ambao ukweli ni kwamba tungependa kuona nguvu za viongozi shupavu na makini walioko CCM na vyama vya upinzani kama CHADEMA, CUF, ACT, NCCR nk zikiunganishwa ili kuendeleza nchi yetu. Sasa kama hili haliwezekani chini ya mfumo wa vyama vingi, basi ni bora tutafakari upya kama ni bora kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja na kuwa nguvu moja.
Sidhani kama upo sahihi kumweka mkuu wa wilaya katika ngazi ya viogozi wa ngazi za chiniMimi ni mwana CCM ninayejitambua na ninayeitakia mema nchi yangu.I understand your concern brother na nadhani viongozi wetu wajuu chamani watalielewa hili na kulifanyia kazi. Kwa bahati nzuri Rais wetu analielewa hili vizuri sana.Wenye shida mimi naona ni hawa viongozi wetu wana Chama wa ngazi za chini.Ila point taken brother. Hii confrontational behavior haitatusaidia sana kwenye maendeleo yetu,ni lazima ikomeshwe.
mtajijua ccm mbele kwa mbeleSynthesizer,