naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,423
Duniani wawili wawili mkuuProf Muhongo
Naogopa kolokoloni.
Magufuri ni professor ?Ina maana Magufuli alizaliwa pacha?
Sina maana hiyo mkuu.Magufuri ni professor ?
Labda maana nimekutana naye somewhereHuyu si kaka yake
Sura imekobolewa na kazi na maisha magumu. Kidogo kwa mbaaali anafanana na profesa mmoja aliyesema watanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi ila kwenye juisi.