Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,524
- 70,358
Ndio mkuu ningekuwa sijasoma wala nisingekuwa huru kifikra kama wewe ulivyo katika comfort zone ukijidanganya na mambo ambayo hayana ushahidi wowote.Leo unaita 2018 unajua ni kwanini ni 2018 na si vingine!!!??halafu ujikute nawe ni msomi wa chuo kikuu☹️☹️☹️
Jiongeze mkuu waza nje ya box usikariri tu na kubugia kila unacholishwa. 😁