Judgement, hatimae umefunguka
maana ya "kama" kwa kisukuma mh!! embu nitafsirie hapo charminglady
Kufunguka kwangu hakujawa na roadmap , coz still kuna bwa'mdogo Arushaone naona ni kama katumwa hivi, ama ni kwa matashi yake sijajua vzr, amekomaa kuwa rival wa mimi.
Infact now days hatugombanii malavidavi ! (hiyo imepitwa na wakati)
Tuna ugomvi na mavumba!
Btw wewe umenyuti kwa kutoonyesha msimamo between this two camps!
Teh ! Teh! Teh! Pekee kinachoweza kuninyima mbonji hapa kunako Sayari ni "Rupiya" "Mkwanja" fullstop.
Kwako nilikua naandaa kutafuta utulivu.
Utulivu ambao umeingiliwa na contester !
Nway wewe nini uelekeo wako? Nimuachie gari ama ?
Duh!!!! ama kweli kunguru muoga............................