Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Focus kwenye ku enjoy ,utakuja kuzikumbuka hizo siku
Ni hayo tu
Swali: Huo muda wa kuenjoy unatakiwa uanzie wapi na uishie wapi???

Miaka 7-22
hapa ni shule (Kwa yule aliyefuata mtiririko vizuri) Huyu huko msingi, sekondari mpaka chuo kuna kitu atakuwa ameenjoy!

Miaka 23-40
hapa ni kujiandaa kuwa mama (Mungu akikupa huo uwezo (Hata kama hutaki kuolewa) Maandalizi yanaanzia kwenye suala zima la kutafuta utulivu kwa maana ya kazi, biashara, mahusiano,ujasiriamali n.k.

Miaka 40s na 50s ni umri wa kutulia na siyo kuhangaika na dunia coz hamna ambacho hujakiona kwenye ujana wako.

Hapa namaanisha kuiva kiakili hasa na kuwa mtu mzima na siyo mtu mzima ovyo.

Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu kwani ndiyo asili ipo hivyo.Hicho ambacho ulikitaka na hukukipata kubali kuwa haikuwa riziki yako na usiumize sana kichwa.

Unatakiwa ufurahie hata kwa vile vidogo ambavyo muumba amekujalia.Kosa kubwa ni kujilinganisha na wengine!!!!!!!!Maana halisi ya maisha ni wewe mwenyewe kuyapa maana!

Nb: Ni mtazamo wangu!
 
Kuna muda hiki kitu tunachokiabudu sana na kukipa hype kubwa ...MAPENZI ni ubatili fulani hivi 🀣... kitendo cha kugusanisha hivi vikojoleo vyetu sijui tunaonaga kama nini vile πŸ€”
 
Wewe bhana kama umemchoka Agemate mwenzangu, nenda kwa hivyo vitoto vyako vilivyo nyoa kiduku ili vikakuambukize UTI. Kiukweli kuna wakati wanawake hata hamueleweki mnataka nini! Halafu hamjawahi kuridhika kwa chochote! You people mnatuchanganya sana wakati fulani.
 
VP umemis kunyonywa k na mku.. Kwa pipi kifua Huku unapulizwa mku.... Kibabu chako hakiyajui hayo mambo Wala utundu, njoo nikufanyie hayo baby wangu ila Kwa Siri mpenzi wasijue mpaka nihakikishe ume squirt ndo nikuchomekee utakapo hata potepote baby nakutia mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…