Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Majuto ni mjukuu, komaeni na uzee huku mnajutia sana wale mliokula nao ujana wakati mnaona wengine siyo type yenu... Napia kingine mwezi kesho kutwa tunategemea kupokea mzigo mpya kitaa ambao haujachuja sana bado.

Hakuna kurudi nyuma ni mwendo wa expire date tuu nasiyo vinginevyo
 
Majuto ni mjukuu, komaeni na uzee huku mnajutia sana wale mliokula nao ujana wakati mnaona wengine siyo type yenu... Hakuna kurudi nyumba ni mwendo wa expire date tuu.
Nb. Kwanzia Mwezi ujao mwishoni na kuendelea ngoma mpya zinaingia mtaani chuchu saa sita na bado hazijachuja sana . Wanaume tutakua busy kufanya uwekezaji huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…