Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Kuna mke mmoja alimuomba mpangaji mwenzake wa kiume ndoo ya kuogea,alipomaliza kuoga akamrudishia ndoo yake.Baadae akakumbuka kama amesahau chupi yake kwenye ile ndoo!Ilimbidi aende akamwambie yule jamaa.Nae jamaa akamwambia aingie ndani aichukue.WAKATI anatoka ghafla mume wake akawa anarudi anamkuta mkewe ameshika chupi anatoka kwa msela. Je,kama wewe ni mume wa yule demu au mke wa yule msela utafanyaje?