Kama nimekosea nishaurini jamani


nakushukuru mtu mkubwa ila sio lazima ku comment uzi wa kitoto.ungepita tu
 

asante dia ubinadam kazi
 
hamuendani kivip? ww ndio umemfunika au yy ndio amekufunika? ..........

Grand PA
 
wanawake tuna mambo as long as
maharusi bado wanakuhitaji wewe simamia coz utawapa sababu gani ya
kuacha kama hadi mama mtu amekuomba,ukiacha kusimama ndio itakuwa furaha
yao

asante mkuu. nafikilia niwambie nasafiri
 

tena umesema la maana kuna mtu alinambia ni nuksi. ingawa si simamii mara nyingi. ni kama mara 5
 


petcash, ukisoma vizuri utagunduo huyu mdada ni mwenye majivuno sana na ingawa amejaribu kuweka mada aonekane kaonewa lakini nahisi huyu dada anatatizo kwenye public relations hasa ukirefer alisema anapenda sherehe maana ndo zake hizo kusimamia sasa huenda pozi alizoweka kwenye hyo picha iliwakera watu.ila dada ananata.
 
asante mkuu. nafikilia niwambie nasafiri

kama utasafiri kweli hapo sawa lakini kama hutasafiri kweli,itabidi uishi maisha ya kujificha sana coz wakijua upo italeta picha nyingine tofauti kabisa hasa kwa mama mtu na bwana harusi wasiojua ukweli
 
Sijaona kipya zaidi ya kujisifia tu.....

Zamani mtu anayesimamia send off au harusi alikua ameolewa

wewe hujaolewa, wewe ni Nung'ayembe
 
Lakini unawezaje kusimamia za wenzako wakati hauna ndoa?huoni wewe ni kimbelembele sana ndo maana unatumika?
 
Wee wasaidie,maneno sio chemical kwamba yata kuunguza
 

kama huna la kusema pita sio lazima
 
Mmmhhh
Yaani wanawake bwana tuna mambo. ..hivi hapo hao mashost wanaona wivu tu hakuna kingine!

Kwa maoni yangu
Usiache, just do it!ukiacha watafurahi!

Najua utakuwa umemzidi bi harus muonekano mzuri!!!!!
Hahaa haaa
Jus do it

asante dia maana wengine wamenitukana sana utafikir nimewalazimisha.watu bana.
 

shoga angu umenichekesha sana. u hav made my day
 

umenichekesha sana.ila nashukuru nimepata sababu maana nilitaka kukataa tangu mwanzo.
 

Nadhani umemsoma vizuri. Huyu hafai kabisa kuwa matron (ingawa sioni umuhimu sana wa hayo mambo).
Mswahili mswahili mnoo!!!
 
Nijuavyo mimi matron huwa rafiki wa karibu ambaye mnafahamiana inakuwa rahisi kukucare.

Juzi kati nilihudhuria harusi moja hivi, bwana harusi alichagua wapambe kutokana na urafiki baina yake na huyo mpambe ambayw tayari ameashaoa. Ila mke wa huyo mpambe hana ukaribu na bi harusi nahisi walianza kufahamiana baada ya bwana harusi kutaka kuoa. Basi sasa yaan kwanza mpambe wa bi harusi alikuwa kivyakevyake, hayuko karb na bi harusi, pia vazi lilikuwa tofauti sana. Hata ukioneshwa picha hutagundua kuwa alikuwa mpambe wa hi harusi.

Wadada chagueni wapambe ambao no mashost zenu walau mtacheka mkikonyezana

Kwako mtoa mada, kubali kwenda kusimamia make ulishaikubalia familia kwa ujimla. ila siku nyingine uwe inasimamia harusu/sherehe ambazo unafajamiana na bi harusi...ujifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…