Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
- Thread starter
-
- #161
Nipo nipo tena nimejaa tele hapahapa bongo. Xmas kwa mara ya pili nimeila bila dad. WISH U MERRY XMASS
Xmas lazima nirudi nyumbani hata nikiwa kona gani ya dunia.Dad amefariki mwaka jana,alikuwa mtu muhimu sana,kwa mara ya pili tumekutana bila yeye kuwepo na tunajitahidi kuzoea lakini wapi? It is very painful.But we gonna cope Elli.Mpwa unamaanisha nini ukisema umeila bila Dad? Umekua kimya sana sana
Xmas lazima nirudi nyumbani hata nikiwa kona gani ya dunia.Dad amefariki mwaka jana,alikuwa mtu muhimu sana,kwa mara ya pili tumekutana bila yeye kuwepo na tunajitahidi kuzoea lakini wapi? It is very painful.But we gonna cope Elli.
Can't imagine it is to long MANI.It means for 11 years I have been enjoying the favour of having my Dad, while you have none. For sure I may not be grateful. But I am praying a lot to gain the faith. Merry Xmass.Pole sana. Ni vigumu kuzoea lakini mungu ni wa ajabu utayashinda haya. Mi ni zaidi ya miaka 13 sasa.
Can't imagine it is to long MANI.It means for 11 years I have been enjoying the favour of having my Dad, while you have none. For sure I may not be grateful. But I am praying a lot to gain the faith. Merry Xmass.
Pole sana. Ni vigumu kuzoea lakini mungu ni wa ajabu utayashinda haya. Mi ni zaidi ya miaka 13 sasa.
Mkuu Elli mimi nitakuombea wewe pamoja na wapwa zangu wote hapa jamvini Muumba wetu awajaalie muone mwaka mpya wa 2015. Walidhani watakuja hapa na kuliteka nyara hili jamvi lakini sasa watakuwa wamebaini kwamba hali iko tofauti na walivyoitegemea. Hongera kwa wote ambao bado mnachangia bila kukosa katika jukwaa letu lile tukufu hapa jamvini.
Naona umeliona hilo la mpwa wetu everlenk kuwa na akili za kuzaliwa, akili za maisha na akili za shule pia. Ila nawaomba wapwa zangu wote kama mtaamua kukamata masanga katika sherehe za kuuaga mwaka basi muhakikishe kuna designated driver huyu atakuwa anakunywa vyoda tu ili kuhakikisha safari yenu ya kurudi maskani inakuwa salama salmini. Haya mpwa mie niko hapa naflip channels kama tano ili kuangalia mechi mbali mbali za EPL zinazoendelea sasa hivi lakini zaidi nipo kwenye mechi ya MANU na New Castle. Uwe na jioni njema Mkuu.
Can't imagine it is to long MANI.It means for 11 years I have been enjoying the favour of having my Dad, while you have none. For sure I may not be grateful. But I am praying a lot to gain the faith. Merry Xmass.
Mpwa Nashukuru sana sana, Nipo kwa Mom nimetulia na.wajukuu zake tu. Ile kitu sipati kabisaaaa ila Asante kwa kuwakumbusha na wengine. Blessed
Mpwa mi nimesubiria jibu la swali langu hadi nasinzia sasa hivi
Aiseee bado nadunda mjini
31/12 ya 13 ulichopoka. but 31/12 ya 14 kwisha habari yako!!!!
Mpwa wangu mi bado Nipo sana tu Aiseee
Nilikua nimelala ndio naamka sasa. Ngoja tuhamie PM
Mpwa wangu mi bado Nipo sana tu Aiseee
Umemalizaaa R.I.I kama ukisepa ila lama utabaki endelea kutoa maviews na manews humu ndani. Na mashairi pia. Ahsante
naomba idadi ya wapwa zako ikiwezekana nitajie kwa majina isije kuwa na mm ni mpwa wako.