Hakuna Mzanzibar mwenye shape ya urais kwa Sasa ..watu wa Bara wamepoteza Imani ..hakuna aliyejijenga Kama statesman ..wengi Akili Zao ni zanzibar ..tu....mtu mwenye malengo ya urais wa Muungano lazima angejijenga pia na bara .......na akibalike
Watu wa Bara walikuwa tayari Kumpa Urais Salim Ahmed Salim ......watu wa Zanzibar Ndio walimnyima kura ....
No Wanzanzibar wenye sifa, uwezo na kukubalika kwa urais wa JMT wapo wakiongozwa na Dr. Ali Mohamed Shein, tena huyu ni mtu asiye na makuu, asiye na makundi na mwenye uwezo wa kudumisha muungano.
Akipendekezwa yeye, ata defuse makundi na migawanyiko yote ndani ya CCM!, CCM itakuwa ni moja stronger than ever!.
Tatizo litabaki ni kama wapinzani wataweza kuungana na kum field mgombea mmoja, na itokee awe ni Mkristo!.
Baadhi wa Wakristo walioko CCM ambao walikumbwa na dhana ya urais ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu, wataona this time CCM has not been fair kwa dini yao, baada ya Muislamu, wamewaletea tena Muislamu!, watampiga chini na CCM yake!.
Kiukweli, Ki haki na Kihalali kabisa, kwa CCM, this time ni zamu ya Zanzibar!, ikitokea CCM isimsimamishe Mzanzibari, then itakuwa ni kufuatia kitisho hicho cha udini!.
Pasco.