Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,941
Kama rais akitoka zanzibar basi mtu makini ni balozi seif idd ni mvumilivu wa kisiasa na msikivu kiasi kwamba chama cha wananchi hakina lawama dhidi yake na ni mtu shupavu kiuongozi nafikiri magufuli akiwa waziri mkuu wake mambo yatakuwa motomoto na siasa zitapungua serikalini
 
Ikawa mchana ikawa jioni bado tutaendelea kusikia mwingine anafaa.
 
Inaelekea Urais ndiyo deal la mujini, basi hata mimi itabidi nigombee huu URAHISi.
 
Kama rais akitoka zanzibar basi mtu makini ni balozi seif idd ni mvumilivu wa kisiasa na msikivu kiasi kwamba chama cha wananchi hakina lawama dhidi yake na ni mtu shupavu kiuongozi nafikiri magufuli akiwa waziri mkuu wake mambo yatakuwa motomoto na siasa zitapungua serikalini


Sasa itabidi na Serikali pia ITUNUNULIE Magodoro ya kumsikiliza Sababu wengi tutaishia KULALA kwa kutokuwa na Mlolongo wa Maongezi... Aaaa CCM Jamani ...
 
Kama rais akitoka zanzibar basi mtu makini ni balozi seif idd ni mvumilivu wa kisiasa na msikivu kiasi kwamba chama cha wananchi hakina lawama dhidi yake na ni mtu shupavu kiuongozi nafikiri magufuli akiwa waziri mkuu wake mambo yatakuwa motomoto na siasa zitapungua serikalini

Sio mtanzania.
 
Yaani Rais wa Zanzibar awe Muunguja/Mpemba na Rais wa Jamhuri ya Tanzania awe Muunguja/Mpemba?
Hii haiji tokea tena Jamhuri ya Tanzania kupata Rais toka visiwani na Rais Mwinyi ndiyo atakuwa Rais wa mwisho kutawala Jamhuri ya Tanzania!!
 
I shall sing, sing my song
Be it right, be it wrong
In the night, in the day
Anyhow it's outasight
I shall sing
La La La La La La La La
With my heart, with my soul
For the young, for the old
When I'm high, when I'm low
When I'm fast, when I'm slow
I shall sing
I shall sing, sing my song
Be it right, be it wrong
In the day, in the night
Anyhow it's outasight
I shall sing
La La La La La La La La
I shall sing, sing my song
I shall sing, sing my song
I shall sing, sing my song
Be it right, be it wrong
In the day, in the night
Anyhow it's outasight
I shall sing
La La La La

ITS TIME WE DO MORE MEANINGFUL THINGS. Tupo pamoja?
 
Maalim Seif Sharifu Hamadi ndio pekee anaefaa kuwa raisi wa JMT
 
Tanzania sio kibanda maiti....

Kama huyu humkubali vipi kuhusu mchumi bora Afrika Prof Lipumba, kama na huyo humtaki basi uraisi apewe mchunganji Mtikila
hao ndio wazalendo wa kweli waliobakia matapeli tu
 
Akili za watanzania bado zipo katika Chama kimoja.
mawazo yao wengi hata wale viongozi wa vyama vya upinzani wana mawazo kama haya.
vipi mtu mwenye akili yako utasema sasa ni zamu ya ZNZ na Ni balozi Seif? Hii akili gani na mawazo gani ?
kwani uchaguzi ni kuchagua CCM ? si tuna vyama vingi ? Au vyama vyote mgombea wao ni Seif Idi ?
kama CCM walo metoa wagombea kutoka Bara mara zote na wanadhani wapate kutoka zanzibar hilo ni lao
kama vyama vingine wakiona anaewafaa ni kutoka bara basi watachagua wao si lazima atoke ZNZ katiba haina kipengele la kupokezana kijiti.

ondoeni mawazo mgando kuwa bado tupo kwenye chama kimoja.
 
Kama ni lazima kutoka ZnZ ni Shamsi Vuai Nahodha ndio anaefaa sasa, nilijua niko peke yangu kumbe na wengine wameona uzalendo wake alivyoweka mbele maslahi ya Taifa la Tanzania kwenye swala la katiba. Kama kila raia anaruhusiwa apige kura ya kuchagua mgombea uraisi kutoka tanzania binafsi he is my candidate kwa hali ya siasa za sasa na kiongozi anaehitajika na changamoto za kitaifa.
 
Kama rais akitoka zanzibar basi mtu makini ni balozi seif idd ni mvumilivu wa kisiasa na msikivu kiasi kwamba chama cha wananchi hakina lawama dhidi yake na ni mtu shupavu kiuongozi nafikiri magufuli akiwa waziri mkuu wake mambo yatakuwa motomoto na siasa zitapungua serikalini

Hakuna Mzanzibar mwenye shape ya urais kwa Sasa ..watu wa Bara wamepoteza Imani ..hakuna aliyejijenga Kama statesman ..wengi Akili Zao ni zanzibar ..tu....mtu mwenye malengo ya urais wa Muungano lazima angejijenga pia na bara .......na akibalike
Watu wa Bara walikuwa tayari Kumpa Urais Salim Ahmed Salim ......watu wa Zanzibar Ndio walimnyima kura ....
 
Kwan nani kakwambia Urais ni zamu kwa zamu?

Waambie hawa ..eti Zamu kwa Zamu ....mambo hayo ya Gays fresh Ndio wana do me ..I do you !!!

Zamu kwa Zamu ...hata Mwalimu alikataa ...Alisema sio Sheria ....,wakipatikana wazanzibar wenye uwezo ....hata wakifululiza Mara 3 ...sio ISHu....tatizo Wazazibar wenyewe huu Muungano hawautaki hata Ndugu Zangu Ccm ...wanautetea wakiwa Dodoma wakirudi Tunguu ....wanaweka misimamo...
Kunao wachache ambao wamejinasabaisha Kama wana wa Muungano...lakini Hao pia wenzao Zanzibar Wanawaita Wazaramu ...
 
Back
Top Bottom