kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

Huu ni mtihani mugumu kwa huyo kaka lakini pia lazima ajue kwamba mimba ilisababishwa na wote wawili, kwa ushauri wangu namshauri aendelee na mipango yote ya ndoa kama anafikiri ataweza kuishi kwa amani na furaha baada ya hayo yote, kwani hata mnapofunga ndoa husema (For better for worse) yaani katika shida na raha. sasa hicho ni kipimo tosha kabla hata ya hiyo ndoa.
Lakini kwa upande mwingine ningekuwa huyo dada kwa moyo wangu wote ningeridhia huyo kaka kama anataka kuahirisha ndoa aamue mwenyewe kuliko kulazimisha ndoa halafu niishi maisha ya kujuta kila siku kama mwenzangu aasipokuwa mwaminifu. Najua itaniuma for the time being lakini mwisho wa siku maisha yatasonga.
 
Mimi sina hasira nakwambia ukweli best na nilimaanisha ukose uwezo wa kumimbisha mtu..kumbuka hujafa hujaumbika!

Mungu aniepushie mbali!
But ikitokea nitalia na Mungu wangu! Kamwe sitolia na ke!
If kakubali kuendelea na mimi is ok!
If Hajakubali chaguo ni lake! As u know me sio sawa na ke kuanzia maumbile hadi tabia! So sitokubali aendelee na mimi wakati huo huo atafute watoto kwa wengine!!!!!!
Never Ever!!!
 
...
Nadhani umefikiria vizuri sana! Thus why umecheka kidogo!
Kati kati ya ukweli uongo hujitenga.....!
Hiyo ngumu kumesa dada! Mtu anamuacha mke wake kisa haponeshi tu! Uyo hazai kabisaaaa! Na sahau kuhusu miujiza! Mmmh! Ningekua mimi ningemueleza tu hivi: nakuowa but sitosita kutafuta mtoto! Plz sitaki tokorofishane hapo mbele!!! Eee! Nampa za uso kama zilivyo! so, chaguo ni lake!

mkuu haya mambo sizani kama dada alipanga yamtokee vinginevyo angeepuka hyo kitu, ni majaribu tu what if yangetokea wakiwa ndani y ndoa? angeivunja? Kikubwa aoe hayo mengine wataafikiana ndani.
 
Du siwezi sema lolote maana looser ni dada wawatu!
Lakini pia wahenga walisema
'''for every hands has a looser an every hands has a winer the best you can hope for is to die in your sleep'''
 
Ili aheshimike kwenye jamii afanye .....decision. as if.....tayari alikuwa ameshaoa
 
Mungu aniepushie mbali!
But ikitokea nitalia na Mungu wangu! Kamwe sitolia na ke!
If kakubali kuendelea na mimi is ok!
If Hajakubali chaguo ni lake! As u know me sio sawa na ke kuanzia maumbile hadi tabia! So sitokubali aendelee na mimi wakati huo huo atafute watoto kwa wengine!!!!!!
Never Ever!!!
Kwani madhumuni ya ndoa ni nini??kwasababu hio case ingeweza kutokea pia wakati ameshamuoa inamaana ungemshauri amuache..Kwani hakuna njia nyingine la kusuluhisha tatizo hilo zaidi ya kuachana?Nakushauri mm kama mwanaadamu mwenzio katu usije kufanya unyama huo yaani yatakuja kukukuta ulie kilio cha mbuzi...Anayetoa ni mwenyezi mungu na yeye ndo anapanga yote!!
 
Kwani madhumuni ya ndoa ni nini??kwasababu hio case ingeweza kutokea pia wakati ameshamuoa inamaana ungemshauri amuache..Kwani hakuna njia nyingine la kusuluhisha tatizo hilo zaidi ya kuachana?Nakushauri mm kama mwanaadamu mwenzio katu usije kufanya unyama huo yaani yatakuja kukukuta ulie kilio cha mbuzi...Anayetoa ni mwenyezi mungu na yeye ndo anapanga yote!!

Madhumuni ya ndoa ni kujenga familia! Includes kupata watoto!
...
Itumike njia gani tena wakati ke mirija imekatwa?
Ivi kwa nini uke wenza si suluhisho?
Mbona dini inaruhusu! Utasa ni sababu moja iliyohalalisha talaka na uke wenza!!!
In Islam ndoa si ndoano!!!!
...
Haki ya Mungu best umesema what i think ni USHENZI! Nooo! Nawapenda sana ke! Dini yenyewe imeruhusu!
Kwani we hukubali uke wenza?
Oooh! Calm down beibe! Ma points base on islamic teaching! Don call it USHENZI!
Hahahahahahaaa!
Labda nikuulize swali la uchokozi!
Mungu akuepushie! Ivi ungefanyaje if mume/mpenzi wako akikuambia anataka kuengeza mke or mpenz coz huwezi kuzaa?
 
Shine, kuna mdau amesema anaifahamu familia iliopata WATOTO BAADA YA MKE KUTOLEWA KIZAZI,

Kwa shuhuda kama hizi, ndio maana nikasema KWA MUNGU HAKUNA LISILOWEZEKANA
 
Last edited by a moderator:
Naamini Mungu hashindwi hvyo bhasi amuoe kisha ataona miujiza ya mungu amabyo hatoamini
 
Wewe kaka unatakiwa umuoe huyo binti,
kuzaa majaliwa bana, mbona wapo wengi hawajatolewa kizazi na hawazai

kweli ....., maana ni wangapi wanaolewa na vilema lakini mapenzi bado yanakuwepo.
japo kutopata mtoto ni jambo jingne, hapo ni makubaliano yao ya baadae kwamba watafanyaje, lakini ushauri wangu shuhuri ya harusi iendelee kama kawaida.
 
Back
Top Bottom