kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

wape pole,kulingana na maoni ya wengi ni vyema akamuoa kwani kati yao hakuna aliyetegemea lingetokea jambo kama hilo.Ya Mungu ni mengi hujui kwa wakati mwingine atakutendea mema na ukasahau mengine,ni hayo tuu
 
amuoe bwana.Future is uncertainity.No one knows tomorrow only God knows mipango iendelee kama inawezekana hospital wafunge ndoa hapo hapo

Well stated, huo ndo mpango mzima
 
Upendo gani huo?
Hembu fikiria kidogo, upendo wa mihemko upo kwa muda mfupi tu!!!
Kiukweli inauma sana wadogo zako na baadhi ya rafiki kuona wanatoto afu we hauna na hauna tatizo lolote kiafya!!!
Wewe mwanao wa kipekee ungemshauri aowe hapo?
Hebu soma ulichoandika kisha utafakari tena halafu uchukulie yamekukuta wewe!!
 
Mkuu ni kweli ila yataka busara ya hali ya juu 7bu unajua dhahiri hutoitwa baba kamwe


Soma neno ulijue litakusaidia sana!!! na pia ukeshe na kuomba
kwnai hili leo uko hivyo baada ya masaa kadhaa tukakisia huna mguu mmoja
Neno la Mungu na likae kwa wingi ndani ya moyo wako!!
 
oukay enough with the fiction, nice story though..,, i have to admit.
back to basics; hakuna daktari atayefanya upasuaji kutoa mtoto wa miezi minne aliyefia ktk tumbo la uzazi, sababu kuna njia mbadala za kumfanya atoke ktk njia ya kawaida. attention seeking freak, tuheshimiane.
 
Ni rahisi sana kwa hapa wachangiaji kusema "WAOANE TU...!!!""

Lakini ni ngumu sana kwa wote wawili kuishi baada ya hiyo ndoa.

1. kwanza wote watakuwa wanahitaji "biological child" hivo hawatakuwa na maisha ya amani.

2. Hali hiyo ya kuhitaji "biological child" itapelekea mama kuishi maisha ya "hisia" kuwa anasalitiwa na baba; kwamba pengine baba anamega outside the marriage ili apate "biological child wake"

3. Na mwisho hizo "hisia" za mama kuwa baba anamega outside the marriage zitamfanya baba aamue kufanya kweli na kuanza kumega outside the territory ili apate "biological child wake"

4. Na mwisho kabisa baada ya baba kumega "outside ze territory" na kubahatika kupata "biological child wake" mama atapatwa na uchungu mkubwa saaaana na hivo kuamua kufanya jambo moja kati ya haya matatu:

(A) Ataaamua kutulia tu kwenye ndoa yake na kumwachia MUNGU.

(B) Ataaamua na yeye kwenda outside ze territory ili akamegwe ili kumkomoa baba kwa kuisaliti ndoa yao.

(C) Ataamua kuvunja ndoa na kuendelea na maisha yake binafsi.

Sasa sijui weye unafikiria atachukua uamuzi upi kati ya huo uamuzi mtatu....!!!!!???

Jambo la kufanya ni kuwaachia wao wafanye maamuzi SASA kulingana na jinsi nafsi na mioyo yao inavyowatuma.
 
Sory sisapot jamaa kumucha ila kama dada hana kizazi na hitaji la mume ni mtoto hapo Mungu atakupatia je hitaji la moyo wako kama ni mtoto? Na anatakiwa apatikane toka kwa huyo mwanadada?

huyu mungu anaruhusu kuzaa nje ya ndoa
 
Wanawake tulivyo na akili fupi, atang'ang'ania kufunga ndoa mbayo in future ni utata. Iishie hapo hapo tena kwa dada kutamka mwenyewe. Othewise alazimishe kuifunga aone cha moto.
 
Upendo huonekana wakati wa raha na huthibitika wakati wa shida,sijawahi ona upendo kama huuu.....hapa ndipo sehemu ya kufungua na kufunga baraka...ni mtihani kwake na inabidi aushinde maana Mungu hashindwi jambo
 
Mimi49 punguza hasira kidogo best!!!
...
Mimi ni me!
Ingenitokea hiyo, ningemuoa fresh tu! As well as mimi ni Muslim ningeongeza mke mwengine tu ili nipate watoto!!
Akikataa uke wenza ni taraka kwa kwenda mbele!!!!!
...
Hata nikiwa mkiristo ningeoa fresh tu!!!!!!
BUT nisingeacha kutafuta mtoto!
Ningemsubiria hadi apone, yaani wakati yuko OK! Whether kabla or baada ya ndoa is not an issue!!!!!!
Akikataa mimi kutafuta mtoto, atachagua mwenyewe! Either tutengane au vyovyote vile mimi natafuta mtoto! As well as gegedo langu natembea nalo! labda akaniroge!!!!!
...
Siwezi kukujibu ingekuwaje if mimi ni ke! But nadhani ningemruhusu kutafuta watoto! Si wawili tu hadi watatu! Si nampenda! Nitafanyaje sasa???
==> error!

Hebu soma ulichoandika kisha utafakari tena halafu uchukulie yamekukuta wewe!!
 
Last edited by a moderator:
Ney maa kwa niaba ya kaka yako i feel what he feels.
Only God can write your life story na sio mtu mwingine awaye yote.
Kwanza nampongeza kwa maamuzi aliyoweza kuyachukua kabla ya hili lililotokea kutokea.
Pili namtia moyo kwa haya yaliyomkuta kwa sasa. Nnachoweza kumwambia tu ni kwamba aangalie upendo wake uliomsukuma kufikia uamuzi wa kumpeleka huyu binti altareni. The rest Mungu atajazia.
True love casts away all fears and conquer all adversities.
Kwa msaada zaidi nipm nione namsaidiaje kakayo kwa counselling najua ndicho anachohitaji zaidi. MUYOOL amegusia jambo moja la msingi sana ambalo linapaswa kuangaliwa kwa makini.
Mungu bado yupo kazini hajaenda likizo mwambie kaka asiogope wala kukanganyikiwa. The devil is a liar
 
Last edited by a moderator:
oukay enough with the fiction, nice story though..,, i have to admit.
back to basics; hakuna daktari atayefanya upasuaji kutoa mtoto wa miezi minne aliyefia ktk tumbo la uzazi, sababu kuna njia mbadala za kumfanya atoke ktk njia ya kawaida. attention seeking freak, tuheshimiane.

haya mambo magumu kujua mkuyati og. Inawezekana imetokea kweli. Anyway, huwezi jua mpaka likufike. Inawezekana na wewe kuna siku ukaja na lako tukadhani ni bonge la fiction. You never know
 
Last edited by a moderator:
hivi mapenzi huwaga yanaangaliaga umri jamani naomba nami nijulishwe maana sifahamu
my cousini charminglady nisaidie hapo
Hii ni realy imetokea kwa familia rafiki na mpaka sasa nafuatilia sijui kaka atafanya nini, dada ni nesi wa hospitali fulani na kaka ni tabibu wa hospitali hiyo walikutana wakapendana bt dada kampita kaka kwa miaka 2 (miaka 30 kwa 32) na hilo halikua tatizo kwao kwa jinsi walivyopendana.

Ikatokea dada akapata ujauzito wa kaka na kwa kua kaka alikua ameishika sana imani ya dini yake hakupenda waendelee kulea mimba kiholela waliamua kwenda kanisani kutangaza ndoa na juma 2 ilopita ilitangazwa kwa mara ya 3 kwa wale wakristo wanaelewa kutangazwa kwa ndoa.

Ndoa inatakiwa kufungwa jmosi ya wiki hii.......lililotokea Mungu saidia!.......dada jumanne ilopita aliugua akalazwa hospitali mume wake mtarajiwa aliomba marafiki waombe kwa ajili ya mkewe apone ili waweze kufanikisha send off iliyokua ifanyike alhamisi hii na ndoa ya jumamosi ambapo tayari walikodi ukumbi na kutoa kadi za mwaliko.

mkewe ilipofika jumatano vipimo vikaonyesha mtoto wa miezi 4 2mboni amefariki akafanyiwa upasuaji akatolewa hali ya dada iliendelea kua mbaya send off imeairishwa leo asubuhi matatizo makubwa yameonekana baada ya vipimo vya doctor kwamba kizazi lazima kitolewe ili kuokoa maisha ya dada.

madactari wamefanya upauaji kwa mara nyingine wameondoa kizazi..............dada mpaka sasa analia sana anamwomba kaka kesho kutwa jmoso i mean wafunge ndoa pale hospitalini kaka amechanganyikiwa hajui afanyeje coz kwa sasa mkewe hana kizazi na bado amelazwa na ndoa inatakiwa kufungwa jmosi ya wiki hii ushauri wenu tafadhalini!
:help::help::help:
 
Last edited by a moderator:
Amuoe tu huyo dada kwani akumbuke hiyo mimba yake ndio sababu ya yeye kukosa kizazi chake.
 
Uepndo wa kweli unapimwa wakati wa matatizo!!! Hivi ingekuwa ni huyu kaka yako amepata ajali na pengine yuko coma ingekuwaje? Mimi ninamsifu sana dada mmoja huko Mbeya (thread ilikuwa hapa hapo nyuma) mumewe mtarajiwa alivamiwa na majambazi akitoka kikao cha harusi na akamuumiza sana na kuweka alama kubwa za kubadili sura kabisa. Yule dada lifunga ndoa na yule mume akiwa na mabandage yake usoni na mikononi huku mwili umefura kama kang'atwa na nyuki. Huu ndiyo upendo wa agape!!! Watoto ni majaliwa na kama unampenda unaweza kuchukua watoto wengine au mkatafute surrogate mother kwa makubaliano. Kaka funga macho tafakari na omba Mungu na mke oa.
 
Mimi49 punguza hasira kidogo best!!!
...
Mimi ni me!
Ingenitokea hiyo, ningemuoa fresh tu! As well as mimi ni Muslim ningeongeza mke mwengine tu ili nipate watoto!!
Akikataa uke wenza ni taraka kwa kwenda mbele!!!!!
...
Hata nikiwa mkiristo ningeoa fresh tu!!!!!!
BUT nisingeacha kutafuta mtoto!
Ningemsubiria hadi apone, yaani wakati yuko OK! Whether kabla or baada ya ndoa is not an issue!!!!!!
Akikataa mimi kutafuta mtoto, atachagua mwenyewe! Either tutengane au vyovyote vile mimi natafuta mtoto! As well as gegedo langu natembea nalo! labda akaniroge!!!!!
...
Siwezi kukujibu ingekuwaje if mimi ni ke! But nadhani ningemruhusu kutafuta watoto! Si wawili tu hadi watatu! Si nampenda! Nitafanyaje sasa???
==> error!
Mimi sina hasira nakwambia ukweli best na nilimaanisha ukose uwezo wa kumimbisha mtu..kumbuka hujafa hujaumbika!
 
Back
Top Bottom