kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

Upendo gani huo?
Hembu fikiria kidogo, upendo wa mihemko upo kwa muda mfupi tu!!!
Kiukweli inauma sana wadogo zako na baadhi ya rafiki kuona wanatoto afu we hauna na hauna tatizo lolote kiafya!!!
Wewe mwanao wa kipekee ungemshauri aowe hapo?

Hii ni changamoto mojawapo itakayodhihirisha upendo wa mtu!!!
 
miaka 30 jamaa hana hata mtoto wa ujanani????????????

hiyo kufungia ndoa hospitalini Bibi harusi akiwa mahututi naona ni kama kufosi kingi tu ,,,,,,,,, kwanini asisubiri Bibi harusi apone halafu wazungumze na hatimaye kufunga ndoa wakiwa katika hali zao nzuri kiakili mpaka kimwili?
 
Yap! Hapa umenena!
Ni lazima muda wa kumwambia uzingatiwe!
100/100.

ukimwambia kabla ya ndo di vizuri jamani embu fikiria hali aliyo naye kama ndo wewe ningekushauri usubiri kwanza mpaka akitulia najua ni ngumu itachukua mda afu mtapanga mpaka kufikia hatua ya kuoana ina maana mdada mwelewa ana ufahamu mpana halitokuwa tatizo.
 
mi ningemuoa tu ..kwani ukishaoa huwezi kuzaa tena .wanawake wapo kibao
mimi namuoa live ..na watoto nazaa na mtu mwingine liveee..nawaleta home kama vipi...maisha ni haya haya..wote wenye watoto wana ndoa..kuzaa kupo 24/7 uwe na ndoa au usiwe nayo period!
 
hayo ni moja ya majaribu ya dunia ili kuyashinda inabidi ukubaliane na yaliyotokea, usubir apone mfunge ndoa na maisha yaendelee kiroho saafi kabsa!
 
Mimi kama mimi ningekubaliana na mwanamke kwanza, yeye mwenyewe ameshaiona hali kwamba kizazi ndo kinasepeshwa hivyoooo!!!!!! That means, hakuna mtoto tena maishani! Hii hali inatisha,,, tena inakatisha tamaa, bila ya kuwa na moyo wa chuma, huwezi fanya maamuzi!

Cha msingi hapa, kaka anatakiwa akae na huyo mwanamke angalau mwaka hivi bila ya ndoa wala sex ili kumuondoa stress halafu atafute mwingine wa kumuoa!
 
Watu wameleta nadharia nyingi hapa bila kuzingatia uhalisia hasa wa maisha yetu waTz.. Mtoto sio baraka tu kwa ndoa zetu ila ni kama lazima kwa jamii zetu waafrika, sidhani kama kuna ndoa hapo.

Tema chakula au meza uungue.
 
Anatakiwa amuoe maana hata yeye anaweza akatolewa kizazi chake mara baada ya kuoa.Tatizo kama hilo linamkumba yoyote bila kujali jinsia.Kuna jamaa mmoja alimkimbia mke kisa kajifungua kwa oparation, akaamua kuoa mke mwingine nae akajifungua kwa operation tena yeye akatolewa mpaka na kizazi hivyo ujanja wake ukaishia hapo.Kuna jamaa mwingine alikuwa anajisifu hawezi kuoa mwanamke aliyekuwa na mahusiano na wanaume wengi kwani aliwaita ma screpa yaani second hand.Kitu cha kushangaza kila mchumba aliyekuwa akimpata alikuwa ni second hand hadi mwisho wa siku akamuoa wa namna hiyo.Muache Mungu aitwe Mungu unaweza ukajiona wewe ni mrembo au handsome lakini baadaye ukabadilika, unaweza ukajiona tajiri baadae ukawa masikini.

Hakika mkuu umenena na nimepata kujifunza ki2 toka kwako
 
mi ningemuoa tu ..kwani ukishaoa huwezi kuzaa tena .wanawake wapo kibao
mimi namuoa live ..na watoto nazaa na mtu mwingine liveee..nawaleta home kama vipi...maisha ni haya haya..wote wenye watoto wana ndoa..kuzaa kupo 24/7 uwe na ndoa au usiwe nayo period!

Smile,
unazijua kasheshe za ukewenza?

Unayajua maumivu ya kulea watoto wa mke mwenzio tena aliye hai?

Kuzaa azae yeye, kulea ulee wewe??

Aiiiiii tataaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Mungu Hakuna lisilowezekana, Aoe tu na MUNGU atampa kila lililo hitaji la Moyo Wake

Sory sisapot jamaa kumucha ila kama dada hana kizazi na hitaji la mume ni mtoto hapo Mungu atakupatia je hitaji la moyo wako kama ni mtoto?
 
Kwa Mungu Hakuna lisilowezekana, Aoe tu na MUNGU atampa kila lililo hitaji la Moyo Wake

Sory sisapot jamaa kumucha ila kama dada hana kizazi na hitaji la mume ni mtoto hapo Mungu atakupatia je hitaji la moyo wako kama ni mtoto? Na anatakiwa apatikane toka kwa huyo mwanadada?
 
Ndio maana ktk mafundisho kabla ya ndoa huwa tunasisitzwa sana kwamba nyie wawili ndio mmependana na kupata watoto ni majaliwa,ingewezekana asitolewe na pia asipate mtoto tena!Sasa la msingi hapo ni yeye kumuomba mungu na kufuata moyo wake unavyomtuma kwani mwisho wa siku ni yeye ndio atakeyeishi nae sio mama,baba,dada wala kaka.Na huyo dada yeye pia naamini hakupenda hayo taliyotokea,hayo ni majaribu tu ambayo tunapaswa kukabiliana nayo na kuyashinda

Real but atakabiliana nayoje?
 
Hapo ndipo mafundisho tunayoyapuuza ya kutofanya tendo la ndoa kabla ya ndoa yanapoonesha umuhimu wake na kutoa funzo muhimu.

Anyway, kama ni story tu ya kutunga au ni kweli, iwapo kuna upendo wa kweli, hilo haliewezi kuwa tatizo kubwa, maana upendo una nguvu kama mauti!
 
Hadithi nyingi zisizokuwa na maana .. Kashika dini sana, anampenda Mungu, kama ana vyote hivyo anauliza ushauri wa nini? akasome Biblia, na kumuacha huyo mwanamke ni laana nje na nyeupe, hata atakayemuoa anaweza akose mtoto, yeye akimkataa nani atamuoa?
Hii ni realy imetokea kwa familia rafiki na mpaka sasa nafuatilia sijui kaka atafanya nini, dada ni nesi wa hospitali fulani na kaka ni tabibu wa hospitali hiyo walikutana wakapendana bt dada kampita kaka kwa miaka 2 (miaka 30 kwa 32) na hilo halikua tatizo kwao kwa jinsi walivyopendana. Ikatokea dada akapata ujauzito wa kaka na kwa kua kaka alikua ameishika sana imani ya dini yake hakupenda waendelee kulea mimba kiholela waliamua kwenda kanisani kutangaza ndoa na juma 2 ilopita ilitangazwa kwa mara ya 3 kwa wale wakristo wanaelewa kutangazwa kwa ndoa. Ndoa inatakiwa kufungwa jmosi ya wiki hii.......lililotokea Mungu saidia!.......dada jumanne ilopita aliugua akalazwa hospitali mume wake mtarajiwa aliomba marafiki waombe kwa ajili ya mkewe apone ili waweze kufanikisha send off iliyokua ifanyike alhamisi hii na ndoa ya jumamosi ambapo tayari walikodi ukumbi na kutoa kadi za mwaliko. mkewe ilipofika jumatano vipimo vikaonyesha mtoto wa miezi 4 2mboni amefariki akafanyiwa upasuaji akatolewa hali ya dada iliendelea kua mbaya send off imeairishwa leo asubuhi matatizo makubwa yameonekana baada ya vipimo vya doctor kwamba kizazi lazima kitolewe ili kuokoa maisha ya dada. madactari wamefanya upauaji kwa mara nyingine wameondoa kizazi..............dada mpaka sasa analia sana anamwomba kaka kesho kutwa jmoso i mean wafunge ndoa pale hospitalini kaka amechanganyikiwa hajui afanyeje coz kwa sasa mkewe hana kizazi na bado amelazwa na ndoa inatakiwa kufungwa jmosi ya wiki hii ushauri wenu tafadhalini!:help::help::help:
 
Kwa Mungu Hakuna lisilowezekana, Aoe tu na MUNGU atampa kila lililo hitaji la Moyo Wake

Kuna familia naifahamu, ambayo mke alitolewa kizazi wakati akiwa mjamzito wa mimba ya kwanza. Kilichowashangaza madaktari ni kuwa baadae alikuja kuzaa na sasa anao watoto watatu!
 
ndiyo maana zamani babu zetu walikuwa na wake zaidi ya mmoja. Unamwoa huyu kwa upendo ulionao kisha mnakubaliana unakapenda kengine kenye adabu kwa mkubwa unaoa ili upate uzao.

we ungefanya hivyo saa hizi
 
Back
Top Bottom