Kama ni wewe ungefanyaje?

Kama ni wewe ungefanyaje?

KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
717
Reaction score
473
Kijana mmoja baada ya kutajirika akamwambia baba yake, Baba sema nikulipe nini ili tusijuane tena! Baba akamjibu "Nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya mke wangu" Kama ni mwanao ungemwambia akulipe nini?
 
Anilipe kikojoleo changu kilichomwaga mkojo mpaka akazaliwa.

Manina zake na nusu!
 
alipe unga wake ulokuwa umechanganywa na maji.
 
naelekea kigogo bahati mbaya nimepanda gari la mkoani,samahani sana ngoja nirudi nilikotoka duh
 
Mngeniambia na maeneo anayonitajia hayo maneno,
 
kesi gani na wife babu!?
Kesi ya kushindwa kuniletea bia, pale nilipoihitaji zaidi kiongozi...

attachment.php
 
Duu kwel pesa mwana haramu,,inafkia jamaa anataka amalizane na baba ake kisa pesa?.mpango ndo huo amtoe mke wake.
 
Back
Top Bottom