Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 128
- 196
Kama ni mweusi, mshukuru Mungu kwakuwa mweusi, siyo mara ooh! Mimi ni maji ya kunde... Kunde zipi?
Kama weupe wanavyojiamini na weupe wao, na wewe jiamini na weusi wako. Acha kujichubua, Mungu ndiye fundi kuliko photo editing apps, jiamini na weusi wako.
Biblia inasema, Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
Wim 1:5 SUV