Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,967
- Thread starter
-
- #161
Nilikwambia tangu mwanzo unachofanya si hoja bali unatetea ukabisha sasa unaweza kujipima na kujiona kama bado uko kwenye kutoa hoja au kutetea labda uniambie hujui neon kutetea
Ckuwa nkilifahamu ili,ahsante kwa elimu.Mkuu Nyani Ngabu,mfumo wa kisheria wa nchi yetu ya Tanzania hauruhusu mtu binafsi kumfungulia mwingine,na kuendesha kesi mahakamani,kesi ya jinai. Kinachotakiwa ni kwa mtu mwenye ushahidi dhidi ya jinai ya mwingine kuuwasilisha ushahidi huo kwa mamlaka zinazohusika,mfano polisi au TAKUKURU,ili hatua stahiki zichukukiwe. Mamlaka hizo na nyinginezo,kama Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ndizo zitakazomshtaki mhusika. Ndiyo kusema,wenye kuamua kushtaki au la ni watawala waliopo kwenye mamlaka hizo iwe ushahidi umekabidhiwa au ule walionao wenyewe.
Even vita yake ya Madawa ya kulevya ni Political driven,for whose advantege,Bashite ndiye anajua.
Mbowe ameonesha Mfano kwa kujitetea na kugungua kesi.
Now wamemgeuzia Kibao,its up to him to Clean himself.
Kwani inachukua muda kuja na vyeti vyake na kumaliza mchezo
Moja kati wa wabeba box wenye akili kubwaz,lakini haizid ya Le mutuz!Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Hilo haliwezi kufanyika , kwanini waleta tuhuma hawakuzileta mapema kabla ya vita ya dawa za kulevya kuanza?Mkuu, tuhuma dhidi ya Makonda Zipo wazi Sana, na mwenye jukumu la Kumshtaki Makonda si mtu aliyemtuhumu Bali ni mwajiri, aliyemtuhumu amedai anao ushahidi wa kutosha na yupo tayari kuisaidia mahakama.
Sasa hapo mwenye kuchukua hatua ni bosi wake tu na si vinginevyo.
kwani umesahau Makonda alivyowatuhumu watu kuuza wakati akijua kuwa, "A person cannot be made guilty if not proven by the court of law ",Sasa Makonda aliwataja publicly kitendo ambacho ni kuchafua image ya mtu, nadhani unajua kuwa, what goes around comes around ,alianzisha ugomvi wa mawe akasahau kuwa anaishi kwenye nyumba ya vioo, ugomvi umeanza akakimbilia kujificha humo humo.
Watu wenye akili Zetu tuliuona mwisho mbaya Makonda, if his boss won't fire him, his personality and political charisma in the state house will totally get faded.
Point yangu ni hii; Mara nyingi tumeona serikali au viongozi wa serikali wakijibu tuhuma dhidi ya serikali au dhidi ya viongozi binafsi zilizotolewa mitandaoni kama hii. Rejea issue ya mshahara wa Rais ilikanushwa tukaahidiwa ushahidi wa salary slip ingawaje hadi Leo kimya. Sasa hii imeshindikana nini mtu kujitokeza na kusema "Mimi sijajawahi kuitwa Daudi tangu kuzaliwa Mimi ni Paulo na ushahidi ni huu hapa. Mfano wa pili; Kama hawafanyii Kazi habari za mitandaoni, yuko wapi Dr.Posi aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na naibu WAZIRI? Umesahau kilichofanyika alipoteuliwa Bulembo na kugundulika kuwa Katiba imenajisiwa kwa kuzidisha wabunge wa kiume? Kelele zilitokea Ikulu, Bungeni au mitandaoni?Nimeshasema wazi kabisa kuwa hapo alichemka big time.
So what's your point?
Huo ni uoga tu,kama ushahidi upo upeleke, vinginevyo utakua hajasaidia ummaUshahidi ni kwamba hajakanusha has a kwa kuzingatia yeye ni msemaji mahiri na chombo chake cha kusemea clouds kipo angeshasema neno tu tena kwa tambo za kufa mtu.
Suala LA pili ni kwa bahati mbaya Tanzania jinai inapelekwa mahakamani kupitia polisi, japokuwa kwenye penal code kuna kifungu cha 87 kama sijasahau kinamruhusu raia kwenda moja kwa moja Ku lodge shauri LA jinai mahakamani ila kwa sasa sio effective kutokana na mazoea ya kupitia polisi.
Polisi wenyewe ndio hawa hawa tulio nao unadhani ukatia pua kufungua ya bashite utasalimika?!
Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo
Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema
Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Point yangu ni hii; Mara nyingi tumeona serikali au viongozi wa serikali wakijibu tuhuma dhidi ya serikali au dhidi ya viongozi binafsi zilizotolewa mitandaoni kama hii. Rejea issue ya mshahara wa Rais ilikanushwa tukaahidiwa ushahidi wa salary slip ingawaje hadi Leo kimya. Sasa hii imeshindikana nini mtu kujitokeza na kusema "Mimi sijajawahi kuitwa Daudi tangu kuzaliwa Mimi ni Paulo na ushahidi ni huu hapa. Mfano wa pili; Kama hawafanyii Kazi habari za mitandaoni, yuko wapi Dr.Posi aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na naibu WAZIRI? Umesahau kilichofanyika alipoteuliwa Bulembo na kugundulika kuwa Katiba imenajisiwa kwa kuzidisha wabunge wa kiume? Kelele zilitokea Ikulu, Bungeni au mitandaoni?
Na yeye kwa nini asilete vyeti?
Au anaupenda huu mchezo?
Tunaichelewesha Tanzania!
Si lazima tuige ya huko Uingereza.With all due respect, kuwa mbeba box siyo tatizo, tatizo ni wewe kujiingiza mzima zima na kung'ang'ania ndani ya box!.
Wanachofanya watu ni kufanya REFERENCE on related issues /decisions made wala siyo kwa sababu mange/gwajima kasema. Nikikuambia according to the late Nyerere, kuna waziri uingereza alituhumiwa kutembea na kimada na boss wake alivyokuwa infuriated (Kama ambavyo tulitegemea magu awe, kwa jinsi alivyojipambanua), akamteua mwingine bila kujibu resignation yake utasema tunafuata upepo?
Na wa jinsi hiyo ana wafuasi wengi kiasi cha kutishia vyama akiguswa na kususa...Cry my country!There you go.....
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"
Kwa hiyo kama Mbowe kakataa kuonesha cheti chake ndio excuse kwa Bashite kuonesha vyeti vyake ????Mbowe naye alituhumiwa hana cheti lakini bado hajapata kukionesha pia.
Tena siyo kuleta vyeti, hata akienda kufafanua tu kwamba kinachosemwa si kweli na akaonyesha his side of story wengi tutamwamini. Akina Mbowe na akina Gwajima wangekaa kimya, kila mtu leo angeamini ni drug dealers. Kwenye haya mambo negative, you have to fight back and cleanse your name.