Kama ni kweli na ushahidi upo....

Nani kafungwa kwa kutuhumiwa? Hama Dar ukaishi Tandahimba
 
Hauko pekee yako Mkuu Watanzania wengi wako pamoja nawe lakini yule malaika mkuu kaamua kutia pamba masikioni kama alivyofanya kwenye issue ya Lugumi. Kitu cha kushangaza na kusikitisha sana. Wengine wanaforge vyeti wanafukuzwa mara moja bila hata kuchelewa lakini huyu wiki ya pili sasa malaika mkuu kauchuna kama vile hajasikia kuhusu sakata hili la Paul Makonda AKA Daudi Bashite wa Kolomije.

 

Kaka msomi...nimesikia kuna kitu kinaitwa sijui private prosecution.

Waweza kunielezea ni nini hicho na kinafanyaje kazi hapa Tanzania?

Nielezee kwa lugha nyepesi inayoweza kueleweka kwa mbeba maboksi kama mimi.

Usitumie yale ma vocabulary yenu yalee..😀.
 
GSM wapo tayari kuwanunua majaji wote na mashahidi wote, mfano sasa kuna Madalali wametumwa kwenda kijijini kolomije na shule zote alizosoma Daudi Albert makonda wakawanunue watu ( Rushwa) waache kutoa ushirikiano kwa Gwajma na wengineo, kesi ili iweze kuendeshwa inabidi ifunguliwe nje ya Nchi lakini hapa Tanzania lazima Mkulu ataingilia maamuzi kama alivyokuwa akimfanyia Lema.
 
NECTA NDIYO YENYE UWEZO WA KUTHIBITISHA UHALALI WA CHETI CHA MAKONDA PEKEE.
Necta ya Tanzania au Necta ya wapi? Kama ni ya Tanzania sahau milele kwani huko mpaka waziri wa Elimu wamepewa amri toka juu wamlinde makonda kwa gharama yeyote ile.
 
Kupeleka kesi ya makonda mahakama ya Tanzania ni kupoteza mda kwani huko GSM wamejipanga kutumia pesa zao zote kuhujumu kesi mpaka makonda apate ushindi.
 
Kupeleka kesi ya makonda mahakama ya Tanzania ni kupoteza mda kwani huko GSM wamejipanga kutumia pesa zao zote kuhujumu kesi mpaka makonda apate ushindi.

Sasa kama hivyo ndivyo basi Gwajima atuonyeshe hivyo vyeti alonavyo ofisini kwake.
 
Sasa kama hivyo ndivyo basi Gwajima atuonyeshe hivyo vyeti alonavyo ofisini kwake.
Ki-msingi hakuna mwenye ushahidi wa vyeti kwa sababu Daud Bashite alipata '0'kidato cha 4. Hapo cheti hakuna! Cheti cha Darasa la 7 nacho kilifutwa tangu miaka 90. Mimi nimemaliza primary 1992 na sikupata cheti cha darasa la 7 vilikuwa vimeshafutwa. Hapa ushahidi ni wa shule alikosoma makonda. Km alisoma koromoje alikuwa anaitwa nani!!? Hata km atanunua watu lkn kwenye madafutari ya mahudhurio jina la Paul makonda halitaonekana.

Pia shule ya upili aliyosoma wakaangalie nani alikuwa mwanafunzi wao kati ya Daud Bashite na Paul makonda. Lkn lingine,baba wa Daud bashite inasemekana alikuwa mtumishi wa umma,alikuwa anaitwa nani? Na jamii huyo mzazi inamjuaje!!??

Ukisema alete vyeti anaweza kutengenezewa kwa jinsi anavyobebwa na mkulu...
 
Leo nyuzi zangu sita zimeunganishwa tena mbaya zaidi zina maudhui tofauti
doooh!! ñyuzi SITA, tena kwa siku moja?hauna kazi nyingine za kufanya? ama mods wanakulipaga ukianzisha uzi? na huo nao ni ubaguzi na double std kwa upande wao. iweje wewe ulipwe ukianzisha wakati sie hatulipwi? au mods sie wengine wanatuona how come tu??
 
Hana huduma ya mkopo!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…