Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kakutuma Bashite na Magufuli ugeuze kibao tukuulize Magufuli alipomtumbua Kabwe alituonyesha ushahidi wanalo hilo na watu wanavielelezo kibao wanangoja makonda aseme sitaki kuchafuliwa vyeti vayangu hivi tngu kuzaliwa hadi leo

mkuu hata yale matokeo ya wengi ya kuwekwa kwa website yawekwe hapa!!
 
Aonyeshe vyeti ili iweje?

Kwa amri ya nani?

Na akionyesha mtakubali au mtahamisha magoli na kudai hivyo alivyovionyesha navyo ni feki?

Hii nchi bana....
 
mkuu hata yale matokeo ya wengi ya kuwekwa kwa website yawekwe hapa!!
si ndio maana haonekani popote si ndio muujiza ha ha Daudi Bashite na baba yake hawako kwenye records ngoja ndalichako achonge na aadhiriwe mchana peupe
 
Bla blaaa zimezidi mitandaoni. Yote haya yanamkuta Makonda kwa sababu ya Sembe!

Licha ya kwamba Makonda mwenyewe alichemka vibaya kwenye hiyo vita, lakini hapa nilipo najiuliza kwa nini yote haya ya Daudi Bashite yameibuka sasa hivi na si awali hususan kama watu walikuwa wanajua kuwa hilo jina la Paul Makonda si jina lake kweli.
 
Aonyeshe vyeti ili iweje?

Kwa amri ya nani?

Na akionyesha mtakubali au mtahamisha magoli na kudai hivyo alivyovionyesha navyo ni feki?

Hii nchi bana....
kwani anavyo sasa hivi mzee mzima mjengoni kavuliwa nguo kitengo wako kazini safari hii watashitakiwa chezea TZ wewe
 
Hakuna mtu anayeitwa Paul Makonda hili jina kajipachika tu ili kuharamisha mambo yake.Baba yake Mzazi alimwita Bashite yeye kaja kuinajisi heshima ya wazazi wake kabadili jina.

Ushahidi wa hayo unayoyasema uko wapi?

Msiishie kusema tu maana kusema ni rahisi mno.

Tuthibitishieni hayo mnayoyasema.
 
Tunataka bashite aweke vyeti hadharani njia ya mwongo fupi si ametuhumiwa ushahidi upi wakati cv yake ipo juu
Sasa mpenzi kama asipovitoa utafanyaje?

kwa nini tunawapa nguvu watuhumiwa eti , avitoe,ajitetee, aombe msamaha n.k

ni lini tutaamka kama wenye nguvu na kufanya anachoshauri ngabu??

wewe binafsi haupendi kuona kabisa huo ushahidi unawekwa hapa? usingependa?

suppose umedanganywa sasa!!!

au unapenda kuamini?
 
Licha ya kwamba Makonda mwenyewe alichemka vibaya kwenye hiyo vita, lakini hapa nilipo najiuliza kwa nini yote haya ya Daudi Bashite yameibuka sasa hivi na si awali hususan kama watu walikuwa wanajua kuwa hilo jina la Paul Makonda si jina lake kweli.
usijitie huna kumbukumbu yameshaongewa sana hata mke wake anajii le mama daudi ila imepata momentum baada ya yeye kushirikiana na akina GSM na azimio kudhulumu mali za nchi ndio maana watu wamejiuliza nani huyu ambaye magufuli anamangalia tuu akivunja sheria akishiikaiana na wezi
 
Jiulize kwanini alivyoitwa Mahakamani alikataa na Cha ajabu Wakili kutoka Ofisi ya Mwana Sheria Mkuu (Na sio Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ama wakili wake Binafsi) ndio akaenda kumuwakilisha /Kumtetea halafu ndio utapata Majawabu ya Maswali yako.
 
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"
 
Jiulize kwanini alivyoitwa Mahakamani alikataa na Cha ajabu Wakili kutoka Ofisi ya Mwana Sheria Mkuu (Na sio Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ama wakili wake Binafsi) ndio akaenda kumuwakilisha /Kumtetea halafu ndio utapata Majawabu ya Maswali yako.

Hapo niki imagine nitakuwa nabashiri, kudhani, na kuhisi tu.

Sitaki kufanya hivyo na ndo maana naomba wote wanaodai Paul Makonda si jina lake wanipe ushahidi ili niridhike halafu nianze kumshukia na yeye.
 
Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.

Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.

I wonder why!

Things that make you go hmm....
Kiongozi ukituhumiwa kaa pembeni hadi ukweli upatikane.Kiutawala unasimamishwa kupisha uchunguzi ikithibitika unachukuliwa hatua stahiki ikiwemo pia kushitakiwa.
 
Lazima tufike hadi mahakamani?? Yeye ni Mtumishi wa umma tuhuma zipo mezani...ajitokezi na vyeti halali afute tuhuma hizi....very simple na maisha yaendelee...!!
 
Kiongozi ukituhumiwa kaa pembeni hadi ukweli upatikane.Kiutawala unasimamishwa kupisha uchunguzi ikithibitika unachukuliwa hatua stahiki ikiwemo pia kushitakiwa.

Duh!

Kama ni hivyo basi serikali nzima, viongozi wote wa kisiasa wakiwemo Mbowe, Lisu, Lema, Zito, na hata huyo Gwajima nao wangekaa pembeni, siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…