Kama ni kweli na ushahidi upo....

Hili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt
Dah.... Na cha ajabu zaidi...imehit Sana hiki kipindi cha kupambana na watu wa ngada [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Unataka nilist hapa kama darasani? Njoo ofisini kwetu msemwa advocates it plaza Dar nikupe darassa la kisheria usisahau 50,000 ada ya kuniona.

Nashukuru sana ndugu. Nilikuuliza kwa kuwa ulianza kutoa elimu humu nikadhani ninaweza kupata elimu zaidi toka kwako na wangine wakafaidika pia kupitia jukwaa hili. Samahani sikuelewa kuwa ulikuwa "unaitangaza huduma unayoiuza".
Asante kwa uliyonijuza ndugu lakini kwa sasa sina hicho kiasi nitakapokipata sitachelewa kuja kupata elimu zaidi.
 
ndiyo mahana Lijuakali kafungwa na Kisena kutoguswa?
 
Kichwa cha habari kinajieleza, Makonda tayari anatuhumiwa, kwanini mamlaka haziwajibiki juu ya tuhuma za huyu bwana mkubwa, wapo watumishi wengi wa serikali saivi baadhi yao, wamefungwa wengine wamefukuzwa kazi, lakini walituhumiwa kama huyu bwana mkubwa, mamlaka zilichukua hatua yakawakuta yalowakuta, why Makonda
 
Siungi mkono kumiliki cheti feki. ila kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake na itategemea huyo mbuzi atafungwa wapi.
 
Anguko lake litakuwa la kishindo.Fanya subira!
 
Mkuu Paul makonda siku hizi anaitwa Daud Bashite au jina la ubatizo hili
 
Huyu ni kama RizMoko kwa wakati huu. Ama firstboy wetu yani mtoto wa mkubwa yani. Bashite yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…