Kama ni kweli na ushahidi upo....

Asante kwa ufafanuzi wako mheshimiwa mwanasheria, nilikuwa sijui.
 
Wakwetu, mpaka sasa mlalamikaji hajulikani ni nani. Inawezekana hawampeleki mahakamani kwa vile hakuna anayefaidika au watu wanasubiri waone action za Mkuu kwa vile toka aingie alitangaza kuwashughulikia wenye vyeti fake!!

Anyway, kuna mahali nimeuliza, hivi kweli hakuna mwanachama wa JF kutoka Koromije?

Hivi kweli hakuna vijana waliosoma naye Pamba Secondary ambao ni wanachama wa JF!!?

Bahati nzuri Gwajima wanatoka kijiji kimoja ila hawakuwa wanafahamiana. Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!
 
 
Umakini una
 
Mwenye wajibu wa kuthibitisha tuhuma huwa ni nani kwani?

Mtuhumu au mtuhumiwa?

Nielimishe mie mbeba maboksi aka ex-mla vumbi na mkanyaga tope😀.


Kwa mtu ambaye hataki kupaka tope tumbua lake la kisiasa lazima angefuata ushauri wangu

Ila kama angekuwa ni Manji anaulizwa vyeti, Angekuwa Hajavileta?

So kimya kingi humaanisha vingi mubashara

Msitutoe kwenye reli

Analipwa kodi zetu

aonyeshe vyeti

Mbona Simple!
 
Nadhani nyani pamoja na hayo uliyoeleza hapo unajua kila hatua inayoendelea hapa nchini. Huwezi kupeleka mashtaka ya mtoto kwa mjumbe/ balozi ambaye ndiye baba wa mtuhumiwa wako.fikiria zaidi kuhusu mambo yalivyo halafu jiulize iweje baada ya hiyo tuhuma wahusika wamepigwa ganzi
 
Hiyo ni Kazi ya jamhuri NN kupitia taasisi zake. Sisi labda tusaidie katika kuwapa ushahidi AKA TAARIFA MKUU.
 

Oh wow!

Shukrani katheeran Bw. Wakili 'Msomi'.

Umenifunza jipya leo.

Sasa swali kwako, je kwa ufahamu wako, hao wanaodai kuwa wanao ushahidi kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite wameshawasilisha huo ushahidi wao kwenye mamlaka husika?
 
Katika suala hili Makonda amedhihirisha ni mtu makini na mjanja sana. Anajua fika ngoma ya watanzania huwa haikeshi, hivyo katulia tulii maana anajua ikija kiki nyingine, watanzania wote watahamia kwenye kiki mpya. Ziko wapi kiki zifuatazo?
[HASHTAG]#bensaanane[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Njaa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Ukame[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freegodblesslema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ListMadawaYaKulevya[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WabungenaMakonda[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ListMashoga[/HASHTAG]
#n.k
 
Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!

Ahahahaaa....kwa hiyo kumbe huyo Gwajima naye hakuuonyesha huo ushahidi anaodai anao.

Hivyo hatuwezi hata kujua kama kwamba [1] anao kweli na [2] ni ushahidi unaotosha na kuridhisha.

Hivyo hata yeye anaweza akawa anazusha tu ili kupoteza kabisa lengo na kuzua mparaganyiko tu.
 
Kakutuma Bashite na Magufuli ugeuze kibao tukuulize Magufuli alipomtumbua Kabwe alituonyesha ushahidi wanalo hilo na watu wanavielelezo kibao wanangoja makonda aseme sitaki kuchafuliwa vyeti vayangu hivi tngu kuzaliwa hadi leo
 


Petro tumekutana nyumbani kwa Ngabu

tukiwa kule haukujibu swali hili!!

Ebu oneni watanzania tulivyo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…