Kama ndio wewe inakutokea hivyo utafanyaje hapo?

Watachelewa kunipata kutokana na mavazi mazito, pia kutakuwa na hofu kufuatia kishindo nikitua majini
 
Hapo ni kusali sala ya kuwa chakula salama kwa hao waheshimiwa baaasi
 
Habar inaenda kunoga kwa sababu unatua dhen linakufunika kwa juu pamoja na hao wabunge kadhaa.
 
Hapo naona ndo siku yako ya ahad Emefika na hapo hakuna cha muwazini wala mnadi sala
 
Nageuka boti, speed yake kama usain bolt
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…