Kama namba ilikupita kushoto!!

Kama namba ilikupita kushoto!!

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1421321021043.jpg
 
tusije kuona leo hii mambo yanaenda tu tukadhani yamejitengeneza yenyewe, ni wazi kuna watu wameumiza vichwa si utani aisee!
 
Kilichonifurahisha katumia numeric 9 na arthmetics na kupata majibu yanayohitajika katika reading za saa. Very impressive!
 
Hapo kwenye saa 5, inaonekena 9 ina factorial yaani 9! ambayo ni sawa na 9x8x7x6x5x4x3x2x1=362880 square root yake ukitoa 9/9 au 1 sio 5..... Umebugi meeen!
 
attachment.php


Ni lazima kuwe na heshima kati ya walioenda shule na waliokimbia
 
Back
Top Bottom