Kama namba ilikupita kushoto!!

Kama namba ilikupita kushoto!!

kwa nini iwe hivyo? mbona mshale mfupi upo kwenye 9?, kwa nini isiwe saa 9 na dakika 35, Je hao wazungu nao saa zao huwa wanasomaje?
Mkuu ni sawa MankaM amesema kweli japo huo mshale mdogo ulitakiwa usogee katikati baina ya 9 na 10. Inasomeka saa tatu na dakika 35, kama vile ikiandikwa 23:00 inasomeka saa tano kamili usiku
 
Last edited by a moderator:
Hesabu ya kawaida tu hapo mkuu,hakuna ugumu wowote ule.
 
attachment.php


Ni lazima kuwe na heshima kati ya walioenda shule na waliokimbia

Hiyo ilikua zamani mkuu kwa sasa Heshima pesa
 
Back
Top Bottom