Kama mzazi utajisikiaje?

Eneo la malezi kwa watoto ni pana sana chief,hapo unaweza kuta mzazi hajui kama mtoto hayupo nyumbani.

Karne hii watoto wanajua kila kitu kinachoendelea duniani, kwahiyo mzazi ukishindwa namna ya kumzibiti mtoto matokeo ndio kama haya. Anakwambia yupo tayari kwenda na msanii popote,ina maana anayajua mengi. Lakini pia kama vile wazazi tunaona haina haja tena kuwafuatilia watoto na kuwajenga katika misingi bora,tukiwapeleka shule tunadhani imetosha.
Turudi enzi zetu,nadhani mnakumbuka malezi tuliopewa,namna tulivyoonywa,tukazane mapema kuokoa hiki kizazi maana tukishindwa kuwalea vizuri matokeo yatakuwa mabaya zaidi.
Tusinyoosheane vidole,unaweza kumsaidia mwingine fanya,kama wao hawatathamini MUNGU anathamini mchango wako
 
niliwahi andikiwa barua na mtoto wa darasa la 7, nikawa namkwepa akawaambia wenzake mie nyuki

miaka 2 mingi wahuni wakapiga mimba huwa nampita kwao ana maisha ya ajabu ajabu, kalevi, watoto hawaeleweki

hawa watoto wamedata aiseee hawajiulizi mara 2 maisha yao ya kesho
 
Kuwa mzazi nimekuja gundua ni jambo zito sana. I wish ningejua haya, toka nakuwa 😥😥😥😥😥
Katika utandawazi huu, ulezi umekuwa wa shida, kimaadili kwa mabinti na vijana wa kiume.

Kama huyo binti hapo, anaendeshwa na maisha ya kisasa yalivyo. Atachezewa chezewa. Akigonga late 20's hatamaniki. Hakuna kitu kizuri, kama ukijitambua, wewe ni nani na unataka nini maishani.
 
Back
Top Bottom