Kama mwezi huu unafunga soma hapa usije ukabugi

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Kama unafunga basi funga kwa Ustaarabu wako,

Kama huu mwezi ni mtukufu kwako basi tambua hiyo sio kwa wote..!!

Sasa yale mambo ya mtu anakukuta kwenye starehe zako alafu anaanza kukuhubiria habari za mwezi sijui nyota TAFADHALI tusipangiane jinsi ya kuishi.

kama vile kipindi cha KWARESMA kinavyofika huku dini nyingine wakiendelea kula kula njiani, basi Mtu asije akathubutu kuniuliza au kuniambia chochote kuhusu msosi nitakaokuwa ninakula mchana kweupeee....

Mademu nitachukua mchana kweupeee wala sitojifichaficha kwasababu Tanzania sio Uarabuni.

NAWATAKIA RAMADHANI NJEMA
 
Back
Top Bottom