Kama Mwenyezi Mungu atatupilia mbali suala la laana na karma, watakaoingia kwenye adhabu ya milele watakuwa wameonewa bure

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Karma na Laana zipo, na huu si utani. Watu wanapigwa laana asikwambie mtu

Ushahidi mmojawapo wa laana
Enzi hizo nikiwa mtoto, kuna binti aliwahi ingia nyumbani kwao mida ya saa sita usiku, alikuwa anasoma college x mkoani Mwanza. Baada ya mama yake kupayuka, yule binti akaamua kujibishana naye. Ndipo mama kurusha jaro kwa binti. Binti naye kamtwanga mama yake na bakuri la uso. Basi bhana, mama kammwagia mwanae laana kuwa "atakufa kwa ngono" na maneno kemkem ya kuuzunisha. Mjomba wa binti kaja kumchukua na kumtoa mahali hapo. Miaka ikapita, nikakutana na yule binti kwenye bar X akiwa anauza mbususu

Ushahidi wa uwepo wa Karma
Kuna babu mmoja huwa tuna-share ideas za hapa na pale kuhusu maisha. Sometimes hunipa story za maisha yake ya ujana. Aliwahi nisimulia kuwa kuna kipindi walimla binti wa watu mande wakiwa watano nusu wamuue. Sababu ya msingi anadai kuwa binti alikuwa na tabia ya kutukana wanaume wanaomtongoza

Mwezi Desemba mwaka jana, mjukuu wake aliliwa mande na watu sita kwa kosa la kula pesa za vijana wa watu waliozitafuta kwa kubeba vifusi

Kwa ushahidi huo Hii inathibisha wazi uwepo wa laana na karma. Kama Mwenyezi Mungu atavitupilia mbali, wala mande kwa mjukuu wa huyo babu wataadhibiwa kwa kosa lisilowahusu, pia yule binti muuza papuchi ataadhibiwa kwa kosa lisilomhusu

Sababu ya binti kugawa mbususu ni maneno ya mama yake, na sababu ya vijana kula mande ni kwa vile tu iliandikwa kuwa "karma ni lazima ilipe". Hivyo walifanya kwa lengo la maandiko yatimie, na babu aumie roho sawa na jinsi ambavyo binti wa watu walivyomkojolea kipindi kile

Kama Mola atavitupilia mbali vitu hivyo, watu wengi tutaangamia. Kuna watu wanapasua spika za mabinti wa watu, kumbe sio wao, ni karma ya yale yaliyofanywa na ndugu zao kipindi cha nyuma

Inasikitisha sana
Na hili nalo mkalitizame
 
Watu wengine kwenye haya maisha wanateseka kwa makosa ya wazazi wao.Mfano unakuta binti analiwa na kuachwa kila leo unakuta wakati wa ujana baba alikuwa anatembea na binti za watu kibao au mama alikuwa ana tembea na waume za watu.Nimeshuhudia wanawake ambao walitembea na waume za watu watoto wao wakizalishwa na kuachwa wengin mwaka tu kaachika kwenye ndoa,au mtoto wa kiume anaishia kwenye mihadarati.Dunia itakurudishia uharibifu nyumbani kwako mwenyewe na biblia pia inasema laana itaenda kizazi na vizazi hivyo ni vyema kusali kuvunja hizi laana
 
Tiba ya yote ni kutubu na kujikabidhi kwa Mwamba(YESU)
Kwa binti hiyo angerudi tu kwa mama baada ya siku tatu akamuombe radhi.(MSAMAHA NI TIBA TOSHA)
Kwani Mwenyezi Mungu atatakiwa kumhukumu nani kati ya wawili hao? Mama ama binti?
 
Watu wengine kwenye haya maisha wanateseka kwa makosa ya wazazi wao.Mfano unakuta binti analiwa na kuachwa kila leo unakuta wakati wa ujana baba alikuwa anatembea na binti za watu kibao au mama alikuwa ana tembea na waume za watu.Nimeshuhudia wanawake ambao walitembea na waume za watu watoto wao wakizalishwa na kuachwa wengin mwaka tu kaachika kwenye ndoa,au mtoto wa kiume anaishia kwenye mihadarati.Dunia itakurudishia uharibifu nyumbani kwako mwenyewe na biblia pia inasema laana itaenda kizazi na vizazi hivyo ni vyema kusali kuvunja hizi laana
Sah God akalitizame hili jambo kwa kina...

Wengine tunafanya matukio ya kutisha mpaka tunajishangaa, kumbe unakuta ni karma inalipa kisasi
 
Watu wengine kwenye haya maisha wanateseka kwa makosa ya wazazi wao.Mfano unakuta binti analiwa na kuachwa kila leo unakuta wakati wa ujana baba alikuwa anatembea na binti za watu kibao au mama alikuwa ana tembea na waume za watu.Nimeshuhudia wanawake ambao walitembea na waume za watu watoto wao wakizalishwa na kuachwa wengin mwaka tu kaachika kwenye ndoa,au mtoto wa kiume anaishia kwenye mihadarati.Dunia itakurudishia uharibifu nyumbani kwako mwenyewe na biblia pia inasema laana itaenda kizazi na vizazi hivyo ni vyema kusali kuvunja hizi laana
Karma na Laana zipo, na huu si utani. Watu wanapigwa laana asikwambie mtu

Ushahidi mmojawapo wa laana
Enzi hizo nikiwa mtoto, kuna binti aliwahi ingia nyumbani kwao mida ya saa sita usiku, alikuwa anasoma college x mkoani Mwanza. Baada ya mama yake kupayuka, yule binti akaamua kujibishana naye. Ndipo mama kurusha jaro kwa binti. Binti naye kamtwanga mama yake na bakuri la uso. Basi bhana, mama kammwagia mwanae laana kuwa "atakufa kwa ngono" na maneno kemkem ya kuuzunisha. Mjomba wa binti kaja kumchukua na kumtoa mahali hapo. Miaka ikapita, nikakutana na yule binti kwenye bar X akiwa anauza mbususu

Ushahidi wa uwepo wa Karma
Kuna babu mmoja huwa tuna-share ideas za hapa na pale kuhusu maisha. Sometimes hunipa story za maisha yake ya ujana. Aliwahi nisimulia kuwa kuna kipindi walimla binti wa watu mande wakiwa watano nusu wamuue. Sababu ya msingi anadai kuwa binti alikuwa na tabia ya kutukana wanaume wanaomtongoza

Mwezi Desemba mwaka jana, mjukuu wake aliliwa mande na watu sita kwa kosa la kula pesa za vijana wa watu waliozitafuta kwa kubeba vifusi

Kwa ushahidi huo Hii inathibisha wazi uwepo wa laana na karma. Kama Mwenyezi Mungu atavitupilia mbali, wala mande kwa mjukuu wa huyo babu wataadhibiwa kwa kosa lisilowahusu, pia yule binti muuza papuchi ataadhibiwa kwa kosa lisilomhusu

Sababu ya binti kugawa mbususu ni maneno ya mama yake, na sababu ya vijana kula mande ni kwa vile tu iliandikwa kuwa "karma ni lazima ilipe". Hivyo walifanya kwa lengo la maandiko yatimie, na babu aumie roho sawa na jinsi ambavyo binti wa watu walivyomkojolea kipindi kile

Kama Mola atavitupilia mbali vitu hivyo, watu wengi tutaangamia. Kuna watu wanapasua spika za mabinti wa watu, kumbe sio wao, ni karma ya yale yaliyofanywa na ndugu zao kipindi cha nyuma

Inasikitisha sana
Na hili nalo mkalitizame
mafundisho ya laana toka kwa wazazi, mababu, mabibi, ukoo nk. NI VITISHO TU na KUTAFUTA VICHAKA VYA KUFICHIA MAKOSA YETU WENYEWE, MADHAMBI YETU, KUFICHA TABIA ZETU MBOVU, MAZOEA YETU MABAYA NK.

Hakuna mambo kama hayo ya kulaaniwa na babu na wazazi nk. Au kubeba madhambi na makosa ya watu wengine kama wazazi, mababu mabibi koo nk ni kila mmoja atawajibika kwa maisha yake na matendo yake yeye mwenyewe.
 
Ushahidi mmojawapo wa laana
Enzi hizo nikiwa mtoto, kuna binti aliwahi ingia nyumbani kwao mida ya saa sita usiku, alikuwa anasoma college x mkoani Mwanza. Baada ya mama yake kupayuka, yule binti akaamua kujibishana naye. Ndipo mama kurusha jaro kwa binti. Binti naye kamtwanga mama yake na bakuri la uso. Basi bhana, mama kammwagia mwanae laana kuwa "atakufa kwa ngono" na maneno kemkem ya kuuzunisha. Mjomba wa binti kaja kumchukua na kumtoa mahali hapo. Miaka ikapita, nikakutana na yule binti kwenye bar X akiwa anauza mbususu
Umalaya wa huyo binti hauna uhusiano na maneno unayoyaita laana toka kwa mama yake wala umalaya wa huyo binti sio matokeo ya maneno ya mama yake. Umalaya wake ni muendelezo tu wa tabia zake mbovu za tangu awali, kwa tabia izo wala sio ajabu akakutwa na matokeo mabaya zaidi ya hayo hivyo huwezi kuita kuwa ni laana ya mama yake baada ya kupigana

Kitendo tu cha binti kupigana na mama yake ni ishara tosha sana ya tabia za huyo binti na jinsi alivyo, hivyo ya baadae huko kama umalaya, kusumbuliwa na magonjwa ya ngono, kufa kwa ngono nk ni mambo ya kutarajiwa na wala sio mambo ya ajabu kwake wala sio matokeo ya maneno ya mama yake baada ya kupigana.
 
Binti atahukuwa kwa kuwa amevunja amri ya Mungu inayosema Waheshimu baba na mama yako.
Akitubu hatahukumiwa
Awapi, karma imemfanya binti kujibizana na mama yake ili laana iwe juu yake. Unakuta hata huyo mama amewahi jibizana na mama au bibi yake

Haya yote nitayauliza nitakapikanyaga lango la mbinguni miaka hiyo
 
Umalaya wa huyo binti hauna uhusiano na maneno unayoyaita laana toka kwa mama yake wala umalaya wa huyo binti sio matokeo ya maneno ya mama yake. Umalaya wake ni muendelezo tu wa tabia zake mbovu za tangu awali, kwa tabia izo wala sio ajabu akakutwa na matokeo mabaya zaidi ya hayo hivyo huwezi kuita kuwa ni laana ya mama yake baada ya kupigana

Kitendo tu cha binti kupigana na mama yake ni ishara tosha sana ya tabia za huyo binti na jinsi alivyo, hivyo ya baadae huko kama umalaya, kusumbuliwa na magonjwa ya ngono, kufa kwa ngono nk ni mambo ya kutarajiwa na wala sio mambo ya ajabu kwake wala sio matokeo ya maneno ya mama yake baada ya kupigana.
Tatizo kubwa ni CCM basi
 
Karma na Laana zipo, na huu si utani. Watu wanapigwa laana asikwambie mtu

Ushahidi mmojawapo wa laana
Enzi hizo nikiwa mtoto, kuna binti aliwahi ingia nyumbani kwao mida ya saa sita usiku, alikuwa anasoma college x mkoani Mwanza. Baada ya mama yake kupayuka, yule binti akaamua kujibishana naye. Ndipo mama kurusha jaro kwa binti. Binti naye kamtwanga mama yake na bakuri la uso. Basi bhana, mama kammwagia mwanae laana kuwa "atakufa kwa ngono" na maneno kemkem ya kuuzunisha. Mjomba wa binti kaja kumchukua na kumtoa mahali hapo. Miaka ikapita, nikakutana na yule binti kwenye bar X akiwa anauza mbususu

Ushahidi wa uwepo wa Karma
Kuna babu mmoja huwa tuna-share ideas za hapa na pale kuhusu maisha. Sometimes hunipa story za maisha yake ya ujana. Aliwahi nisimulia kuwa kuna kipindi walimla binti wa watu mande wakiwa watano nusu wamuue. Sababu ya msingi anadai kuwa binti alikuwa na tabia ya kutukana wanaume wanaomtongoza

Mwezi Desemba mwaka jana, mjukuu wake aliliwa mande na watu sita kwa kosa la kula pesa za vijana wa watu waliozitafuta kwa kubeba vifusi

Kwa ushahidi huo Hii inathibisha wazi uwepo wa laana na karma. Kama Mwenyezi Mungu atavitupilia mbali, wala mande kwa mjukuu wa huyo babu wataadhibiwa kwa kosa lisilowahusu, pia yule binti muuza papuchi ataadhibiwa kwa kosa lisilomhusu

Sababu ya binti kugawa mbususu ni maneno ya mama yake, na sababu ya vijana kula mande ni kwa vile tu iliandikwa kuwa "karma ni lazima ilipe". Hivyo walifanya kwa lengo la maandiko yatimie, na babu aumie roho sawa na jinsi ambavyo binti wa watu walivyomkojolea kipindi kile

Kama Mola atavitupilia mbali vitu hivyo, watu wengi tutaangamia. Kuna watu wanapasua spika za mabinti wa watu, kumbe sio wao, ni karma ya yale yaliyofanywa na ndugu zao kipindi cha nyuma

Inasikitisha sana
Na hili nalo mkalitizame
Kweli kabisa karma ipo na laana ipo. Mungu mwenyewe alishasema. Kama leo hii wanawake tunazaa kwa uchungu kwa sababu tu ya kosa alilofanya Eva. Kizazi hadi kizazi. Mbaya ya karma inaweza kumpata yeyote ambaye wala hakuhusika na mabaya alofanya mzazi wake ila kwa sababu ni uzazo basi anabeba msalaba.

Ndo maana huwa nasema heri ufanye mema Mungu atakulipa na unajiwekea hazina kwa uzao wako maana mema yale yatawarudia kuliko ukifanya mabaya nayo siku moja yatawarudia.

Na kweli Mungu anarehemu na kufuta lkn gadi ukiri kile ulichofanya.

Kuna jirani yetu mmoja mloloke tena sana anayeomba na kusali na kuombea wengine alikuwa na mtoto wake mmoja wakati anasoma alikuwa anamsumbua sana shule vituko na wewe sema tu akili zilikuwepo za kutosha. Huyo mzazi alikuwa akiitwa shule anaambiwa ingelikuwa sio akili huyu mwanao tungemfukuza shule sema tu darasani anaongoza hivyo tutampa adhabu.

Yule mama sali juu ya mwanae omba sana wapi. Ikafika wakati akasema hapana ikabidi afunge siku 30 ni kuomba na kusali tu juu ya mtoto wake. Baada ya kumaliza hizo funga Mungu akamwonyesha kuwa kuna vizazi vya huko nyuma,,,kwa kulikuwa na mama mkubwa na mdogo,,mama mkubwa alikuwa na watoto mama mdogo hana. Mama mdogo alikuwa anatunza akiba zake za fedha ili aje afanyie jambo lake sasa mtoto wa mama mkubwa akaona zile fedha akazichukua.

Mama mdogo akajua kuwa aliyechukua fedha ni mtoto wa dada yake,, akamwambia dada mwanao amechukua fedha zangu nilizoweka akiba yule ma mkubwa akamjibu yule si mwanao.

Ile kauli ikamuumiza kwa nini dada anamtetea mwanae wakati kachukua fedha ambazo nazitunza kwa ajili ya kuja kutatua shida. Basi hata angalau angemwadhibu au kumsema kwa kitendo alichofanya. Maisha yakaenda ma mdogo akaweka tu kinyongo moyoni.

Basi maisha yakaenda sasa ile roho ya wizi ndo ikaja kumvaaa mtoto wa huyo jirani yetu. Ndipo akajua kwa nini mtoto wake anamsumbua. Basi Mungu akamwambia ili kuondoa hiyo laana tafuta fedha uende ukamsaidie yeyote mwenye uhitaji. Kweli akafanya hivyo. Toka hapo huyo mtoto hakuwahi kusumbua tena kipindi hicho alikiwa elimu ya msingi,,,sasa hivi ameshamaliza chuo yupo anafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom