Kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angerudi leo

Kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angerudi leo

Rutunga ukitazama sana utaona wazi kuwa gado anataka kutuongoza woote tuamini anavyotaka yeye as if yeye anawasiliana na mwalimu huko kuzimu. Lakini jamani tuwe wakweli na Mungu atusaidie, hela inakuwaje ya umma wakati umma umelipia huduma uliyopata? huoni kuwa hiyo nidhuluma kwa mtoa huduma?? Tanesco wasingeweza kupeleka hela escrow akaunti bila kuwa na ankara za madai na wangefanya hivyo wangepata hoja za mkaguzi. Sasa watu wamekubaliana na mmoja kanunua iptl kwa maana mali na madeni..Mali ni pamoja na hela zilizoko escrow na madeni ni pamoja na ankara za tanesco. Kwa nini tusiende kwa mfumo wa hesabu za kawaida tu kuliko kuchafuana na kutukanana???Mimi pia nasema sio hela za umma bali ni za iptl

Mmmmm!!!!!!!???????? hii ni nini?
 
unafanyia editing kazi za wenyewe ndio upate nini!!!!!!!
original cartoon ya Gado toka kwa page yake ndio hii hapa!!!!
eacart191009.jpg

Kiongozi mwenye akili angeachia ngazi fasta.
 
bobby kama hujui maana ya escrow account busara ukae kimya..escrow account inaweza kufunguliwa benki yoyote mnayokubaliana mnaobishania gharama, hata nbc, nmb , boa pia. lakini kwa makubaliano baina ya iptl na tanesco na wizara ya nishati waliamua wafungue escrow account benki kuu ili waweze kuwekeza fedha hizo kwenye hati fungani ambazo ziliwazalishia riba.. Wewe kwa akili yako kwa kuwa escrow account imefunguliwa bot basi hela ni za umma..mbona hujiulizi kwa nini mdhibiti na mkaguzi mkuu hakusema moja kwa moja kwamba hela ni za umma????

Laiza acha kujivua nguo hadharani mkuu sio fair unayo haki ya kujiheshimu. Kwamba Tanesco na Iptl walikubaliana kufungua account ya Escrow ili waweze kupata riba? Yule Prof mwongo kuliko wote hakusema na hatasema haya hata siku moja. Nakuhakiishia hata yule most arrogant kama maAG wote tuliwahi kuwa nao hakusema haya yako. Kukuhakikishia, hakuna sehemu yeyote ilipoandikwa ----- unaoumwaga hapa. Kukusaidia tu, soma report ya CAG kweny intro na report ya Bunge kwenye hili kwanza kwa makini before kucomment chochote kwenye issue ya Escrow kwani pasipokufanya hivyo unakosa uhalali wa kushiriki.
 
bobby wewe ndio mwongo mkubwa tena unajivua nguo hasa..unajaribu kutufanya sisi hatujui kusoma ripoti na unathubutu kumwita profesa Muhongo mwongo kwa kuwa tu umelishwa sumu ya uongo na wabunge wasaka tonge..nimesema wafungue akaunti benki kuu ili waweze kuwekeza kwenye hati fungani..zinazotoa riba..soma ripoti utaona fedha nyingi zilikuwa kwqenye hati fungani na kama hujui hati fungani ni nini basoi waulize wenzako watakwambia..sasa uongo unaotaka kutulisha hapa sijui unatafuta sifa za aina gani.

Hivi wewe ndo Hawa Ghasia..??

Maana ulichoandika hakina tofauti na jinsi Ghasia au Mwantumu maale alivyochangia siku ile Bungeni...
 
otorong'ong'o unaweza kuniita hawa ghasia au mwantumu malale kama pleasure yako itakidhi kiu yako
Hivi wewe ndo Hawa Ghasia..??

Maana ulichoandika hakina tofauti na jinsi Ghasia au Mwantumu maale alivyochangia siku ile Bungeni...
 
Hivi wewe ndo Hawa Ghasia..??

Maana ulichoandika hakina tofauti na jinsi Ghasia au Mwantumu maale alivyochangia siku ile Bungeni...

Kama sio mmoja wa wawili hao basi atakuwa yule kiongozi wa UWT mbunge VITU maalum wa ccm memory yangu (one of the best memories alive) imegoma kurecord jina lake you can imagine . This time hata simjibu nimegundua kwamba mimi ni Real Madrid ambaye nataka kupambana na Mwadui hata kama kocha ana kinywa kichafu hachezi yeye mpira so it doesn't help. Huu ----- aliojibu hapo it is not worth my time kumjibu at all.
 
Kila siku na kukicha ni nyerere tu kama vile Hirizi na kinachokwenda huwa hakirudi na sisi tuko nyuma yake
 
Huyu GADO maadili yake yamepotea!!
 
Attachments

  • EA.Jan_.17.15.JK_.and_.Corruption.incompetence.cronysm.in_.TZ_.jpg
    EA.Jan_.17.15.JK_.and_.Corruption.incompetence.cronysm.in_.TZ_.jpg
    88.3 KB · Views: 209
Back
Top Bottom