Kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angerudi leo

SIKU MSALANI AKIFA,NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMBA.period

Mh mnayenu nyie utajuaje kama kafa? au mpojirani! wengine hm wana nogeshatu sivyo walivyo,jitu unalikuta mtandaon,kijiwen makelele mengi oh cdm,ccm. hata kupiga kura hajawai
 
Rutunga ukitazama sana utaona wazi kuwa gado anataka kutuongoza woote tuamini anavyotaka yeye as if yeye anawasiliana na mwalimu huko kuzimu. Lakini jamani tuwe wakweli na Mungu atusaidie, hela inakuwaje ya umma wakati umma umelipia huduma uliyopata? huoni kuwa hiyo nidhuluma kwa mtoa huduma?? Tanesco wasingeweza kupeleka hela escrow akaunti bila kuwa na ankara za madai na wangefanya hivyo wangepata hoja za mkaguzi. Sasa watu wamekubaliana na mmoja kanunua iptl kwa maana mali na madeni..Mali ni pamoja na hela zilizoko escrow na madeni ni pamoja na ankara za tanesco. Kwa nini tusiende kwa mfumo wa hesabu za kawaida tu kuliko kuchafuana na kutukanana???Mimi pia nasema sio hela za umma bali ni za iptl

Wewe kama nani?ingekuwa simple namna hiyo CIG angesema kuwa ni za IPTL.

Au are you Muongo?maana ni wanufaika tu wa visenti vile ambao mpaka wanaingia kabulini wataendelea kuweweseka kuwa ni halali yao.
 
Wakati unapeleka mwili wa Msalani mtoni, pitia na wa Asumta Mshama. wote wakaliwe na mamba.

Huyo Aumpta anafafana na dada mmoja anaishi mitaa ya jf kwa jina la Laiza, mawazo yao yaleyale..
 
Rutunga ukitazama sana utaona wazi kuwa gado anataka kutuongoza woote tuamini anavyotaka yeye as if yeye anawasiliana na mwalimu huko kuzimu. Lakini jamani tuwe wakweli na Mungu atusaidie, hela inakuwaje ya umma wakati umma umelipia huduma uliyopata? huoni kuwa hiyo nidhuluma kwa mtoa huduma?? Tanesco wasingeweza kupeleka hela escrow akaunti bila kuwa na ankara za madai na wangefanya hivyo wangepata hoja za mkaguzi. Sasa watu wamekubaliana na mmoja kanunua iptl kwa maana mali na madeni..Mali ni pamoja na hela zilizoko escrow na madeni ni pamoja na ankara za tanesco. Kwa nini tusiende kwa mfumo wa hesabu za kawaida tu kuliko kuchafuana na kutukanana???Mimi pia nasema sio hela za umma bali ni za iptl

Sasa kinachowawasha hadi mnajiuzuru ni nini kama sio majizi nyie?? Na kwahiyo ndo malipo mkipata mnaanza kugawia watu fulani fulani eeee!! Kichefuchefu 😁😣
 
Umeme ulikuwa unatumiwa bure?

Makada bwana!! Wengine ni kama vipofu. Na gazeti lenu Uchwara la Uhuru ndivyo mlivyo, kama mnaishi kwenye dunia tofauti na Watanzania. Hivi huwezi kusoma hata hisia za Wananchi nyie mbweha?

Eti component ya kodi na difference ya ile capacity charge si hela ya umma? Kalale wee jamaa. Uchaguzi wa serikali za mitaa ni ishara tuu ya tutakachokufanyeni kwenye ile katiba ya Warioba mliyochakachua na Uchaguzi mkuu 2015. Bado. Bado. Bado hamjaona rangi zote.
 
nafikiri hii picha imeeditiwa siyo original aliyochora GADO
 
Rutunga ukitazama sana utaona wazi kuwa gado anataka kutuongoza woote tuamini anavyotaka yeye as if yeye anawasiliana na mwalimu huko kuzimu. Lakini jamani tuwe wakweli na Mungu atusaidie, hela inakuwaje ya umma wakati umma umelipia huduma uliyopata? huoni kuwa hiyo nidhuluma kwa mtoa huduma?? Tanesco wasingeweza kupeleka hela escrow akaunti bila kuwa na ankara za madai na wangefanya hivyo wangepata hoja za mkaguzi. Sasa watu wamekubaliana na mmoja kanunua iptl kwa maana mali na madeni..Mali ni pamoja na hela zilizoko escrow na madeni ni pamoja na ankara za tanesco. Kwa nini tusiende kwa mfumo wa hesabu za kawaida tu kuliko kuchafuana na kutukanana???Mimi pia nasema sio hela za umma bali ni za iptl

Comment yako hasa conclusion inaonesha wazi wazi hujui kwanini account ya Escrow ilifunguliwa BOT. Kwann Tanesco walipe BOT na si IPTL? Huoni kama ni kujidhalilisha kucomment kitu ambacho hukifahamu vzr?
 
10347090_322285157957154_1399503424457942585_n.jpg
unafanyia editing kazi za wenyewe ndio upate nini!!!!!!!
original cartoon ya Gado toka kwa page yake ndio hii hapa!!!!
eacart191009.jpg
 
bobby kama hujui maana ya escrow account busara ukae kimya..escrow account inaweza kufunguliwa benki yoyote mnayokubaliana mnaobishania gharama, hata nbc, nmb , boa pia. lakini kwa makubaliano baina ya iptl na tanesco na wizara ya nishati waliamua wafungue escrow account benki kuu ili waweze kuwekeza fedha hizo kwenye hati fungani ambazo ziliwazalishia riba.. Wewe kwa akili yako kwa kuwa escrow account imefunguliwa bot basi hela ni za umma..mbona hujiulizi kwa nini mdhibiti na mkaguzi mkuu hakusema moja kwa moja kwamba hela ni za umma????
Comment yako hasa conclusion inaonesha wazi wazi hujui kwanini account ya Escrow ilifunguliwa BOT. Kwann Tanesco walipe BOT na si IPTL? Huoni kama ni kujidhalilisha kucomment kitu ambacho hukifahamu vzr?
 
pokola ishara hiyo kwa asilimia 16??? hakika wewe ni zumbukuku kweli..matokeo ya kura za wenyeviti wa serikali za mitaa na vitongoji tumezoa asilimia 84 tunakimbilia 85 uchaguzi ukirudiwa jumapili halafu kwa kaushindi kiduchu bila aibu ati unasema utakachotufanya....wa kuona rangi zote ni ninyi mnaofurukuta miaka 22 mnaambulia asilimia 16...na gazeti lenu puuzi tanzania daima
Makada bwana!! Wengine ni kama vipofu. Na gazeti lenu Uchwara la Uhuru ndivyo mlivyo, kama mnaishi kwenye dunia tofauti na Watanzania. Hivi huwezi kusoma hata hisia za Wananchi nyie mbweha?

Eti component ya kodi na difference ya ile capacity charge si hela ya umma? Kalale wee jamaa. Uchaguzi wa serikali za mitaa ni ishara tuu ya tutakachokufanyeni kwenye ile katiba ya Warioba mliyochakachua na Uchaguzi mkuu 2015. Bado. Bado. Bado hamjaona rangi zote.
 
wewe ndio mbumbumbu kweli...kukiri upungufu sio kitendo cha kudhoofisha bali ni kitendo cha kujiamini na kujiimarisha.. Jaji Werema amejiuzulu uanasheria mkuu kwa sababu ushauri wake umechafua hali ya hewa na sio wizi lakini anabaki kuwa jaji na ataendesha kesi za kijaji na mtamkimbilia mtakapotaka kuwa wabunge wa mahakama.
Sasa kinachowawasha hadi mnajiuzuru ni nini kama sio majizi nyie?? Na kwahiyo ndo malipo mkipata mnaanza kugawia watu fulani fulani eeee!! Kichefuchefu 
 
masonjo wewe ni msonjo nini maana CAG wewe unamuita CIG Muhongo unamuita muongo kaburini unapaita kabulini.. kwa taarifa yako na wanajamvi wengine wabishi wasiojua kama wewe CAG hakusema hela ni za umma na ndio maana amesema ufanyike uchunguzi zadi
Wewe kama nani?ingekuwa simple namna hiyo CIG angesema kuwa ni za IPTL.

Au are you Muongo?maana ni wanufaika tu wa visenti vile ambao mpaka wanaingia kabulini wataendelea kuweweseka kuwa ni halali yao.
 
zion daughter umenena ....kweli Mungu awahukumu na Mungu atawahukumu kwa haki kuliko sisi tunaotanguliza chuki binafsi, husuda na visasi tunavyotaka kuwahukumu kwa kuwaonea
Hata kuliingiza taifa kwenye migharama isiyobebeka nao ni ufisadi tens mbaya.Inawezekana hao waliohusika walijua wazi hela ikiingi Iptl itaonekana sio wizi.Iweje nchi inayoomba misaada kila kukicha ilipe hao wawekezaji kiasi hicho wakati wana uwezo mkubwa wa kuepuka?!Kwa nini tuwalee hawa iptl na wanaofanana nao.Mimi sisemi Mwalimu awahukumu Bali Mungu awahukumu
 
kkarumekenge ulikataa kwenda shule..na ndio maana unadhani kila anayeteta haki amelipwa....au wewe umelipwa utetee ufisadi wa kuwaharibia waziri na katibu mkuu kwa kuzusha uongo kuwa kuna wizi escrow?
Umelipwa ngapi? Acha kutuletea kichefuchefu hapa!
 
unafanyia editing kazi za wenyewe ndio upate nini!!!!!!!
original cartoon ya Gado toka kwa page yake ndio hii hapa!!!!
eacart191009.jpg

Kwa hiyo umekasirika? Ni kama hali imejirudia tu, ambayo Katuni ya Gado inafit tena kwa kubadili maneno tu. Nampongeza mleta hii thread.
Unadhani kwa viongozi kugawana hela za umma kama chakula cha njaa unadhani Mwalimu angerudi angewafanya nini hawa viongozi?
Ova
 
Back
Top Bottom