Tunamkumbukaje Kambarage -baba wa Taifa

Tunamkumbukaje Kambarage -baba wa Taifa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,783
Reaction score
8,091
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye mhasisi wa Taifa hili.
Tarehe 14 october siku ya kumbukumbu yake kifo.
Viongozi wanaishi maisha yake au tuwakumbushe maisha ya Kambarage.
Moja hakuwa mroho na mlafi wa mali.
Angeweza kujimilikisha majengo ya kariakoo .
Tofauti na sasa majengo ya kariakoo ya Umma watu walafi na waroho wamejimilikisha ,majengo yote yamebolewa yameuzwa.
 
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Hayo majengo ya Kariakoo Mwalimu alinyang'anya akayafanya ya umma kwa hoja kwamba kumiliki nyumba ya kupangisha ni unyonyaji.
 
Back
Top Bottom