Hujaelewa hoja hapa. Hizo gari moshi zina route ngapi mpaka uamini hara kwamba zimepunguza msongamano?
Nadani huja soma posit nzima na hujafanya utafiti lkn kwanini hela iliyotumika hapo isiboreshe barabara kwanza? naseama hivyo kwakujua na kuwa na uhakika kuwa Reli kwa Tanzania bado bado sana. Kama ya kati imetushinda itakuwaje hizi hapa????? Road Transport kwanza.
Mkuu huyo jamaa ni MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI katika hiyo field anayiongelea.Nilipokusoma kwenye hizo quotes hao juu........NIKAJUA umevamia FANI za watu......na hata kama wewe upo kwenye fani hiyo basi........experience yako ni ndogo.......halafu usijidanganye ukifikir maamuzi wanayofanya Mwakyembe na Magufuli ni ya kwao binafsi.........kwa taarifa yako.....wameshauriwa na wataalamu waliopo kwenye Wizara zao............
Nevertheless.....Nakupongeza kwa kuwa Umejaribu!!.............BTW....hizi fani zina wenyewe aisee........wapi Morani75 .....wapi Fundi Mchundo ....
Watu mmempaka sana Paul Kijoka, lakini katika undani na mantiki ya hoja yake alikuwa na hoja yenye kuhold water. Hebu someni tena uzi wake "critically" hafu muangalie kama kweli mmemtendea haki huyu kamanda. Hoja zenyewe ni hizi Mmemtendea haki kweli? Haya aloyasema hayana ukweli au umaana katika utekelezaji? guys, you must always think big and avoid being myopic. Siyo kumshambulia tu mtu bila hoja ya maana badala ya kupangua hoja kwa kutumia hoja!!!!
[/LIST]
Hizo treni mbili kati kati ya jiji hazina msaada wowote katika kutatua tatizo la msongamano wa magari Dar es salaam, watu wanashabikia na kumfanya mwakyembe popular bila sababu, ifanyike master planning mpya ya usafiri wa umma dar es salaam na suluhisho ni kuwa na trains za kwenda kasi na trams sio hayo mabehewa ya mwaka 1947
hujui usemalo. Kama unajua, basi wewe roho ya korosho. Kama si roho ya korosho, wewe ni sadist. Kama si sadist, mradi wako wa dala dala unakufa na huna njia nyingine ya kupata pesa. Nakushauri ubuni mradi mwingine.
Hivi umewahi kutoka nje ta tanzania ukaona wenzetu walivyopiga hatua katika matumizi ya public transport? hata hivyo nakushukuru kwa kuonyesha matatizo ya watu waliokulia eneo moja tu la nchi au dsm.
Mkuu mbona hapa we ndo unajionesha ni muhuni ?
Sure mkuu! Bado safari ya UKOMBOZI ni ndefu!!!! Hivi hivi ndivyo tunavyopata Rais kupitia CCM kwa hoja dhaifu sana tena toka kwa WASOMI!Hizo treni mbili kati kati ya jiji hazina msaada wowote katika kutatua tatizo la msongamano wa magari Dar es salaam, watu wanashabikia na kumfanya mwakyembe popular bila sababu, ifanyike master planning mpya ya usafiri wa umma dar es salaam na suluhisho ni kuwa na trains za kwenda kasi na trams sio hayo mabehewa ya mwaka 1947