Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

Sasa wewe kama umezaliwa kusifia sio mimi! Na usitumie TU tumia NI! Kama plan A inawezekana kwa nini ukimbilie plan Z? Hapo ndo natofautiana nao.


Hata wao wanatofautiana na wewe! Kwa kuwa Plan Z kwako is plan A for them! What matters is not a plan series is the Best plan! Mie sikuzaliwa kukashifu!
 
Hiyo ndiyo soln uliyo iona wewe na wengine wanazo zao pia! so siyo lazima unavyo ona wewe basi ndiyo siyo usani! Wabongo kila kitu ni kupinga na kulalamika tu!hizo nyimbo za barabara za juu zimeanza lini kuimbwa? bora hata huyu tumeona matendo siyo sana za akina Lowassa na wapambe wao.
 
Hivi bado mnapelekeshana na huyu jamaa asiye-elewa anachokizungumzia/anachokiandika!?......
 
Wewe roho mbaya zitakuua. Mahali pa kusifiwa sifu, na mahali penye utata sema. Ukiwa kila siku negative utakuwa unaboa

hakuna anyeboa hapo ila ameongea kitu cha msingi hawa jamaa wanafanya kazi kwa sifa tuuuuh hawana uzalendo wa aina yoyote bali wanatafuta umaarufu wa kisiasa tuuuuh..... na wewe sio kila kitu unakibeba tuuuuh jaribu kufikiria kama wana mapenzi ya kweli na hiyo reli waifufue mpaka kigoma basi, wao wanaiua kwa manufaa yao then unataka wasifiwe..........
 
Jamani me nmemuelewa sana mtoa mada. Hebu tuangalie nchi jirani ya Kenya? Wameweka dart au wanatumia reli? Dar hakuna magar yakutisha ni kukosa viongoz mwenye maono,suluhisho lilikuwa fly overs na nakutengeneza barabara mchepuko kwa kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom