Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Hizo treni mbili kati kati ya jiji hazina msaada wowote katika kutatua tatizo la msongamano wa magari Dar es salaam, watu wanashabikia na kumfanya Mwakyembe popular bila sababu.
Ifanyike master planning mpya ya usafiri wa umma Dar es salaam na suluhisho ni kuwa na trains za kwenda kasi na trams sio hayo mabehewa ya mwaka 1947.
Ifanyike master planning mpya ya usafiri wa umma Dar es salaam na suluhisho ni kuwa na trains za kwenda kasi na trams sio hayo mabehewa ya mwaka 1947.