Kama Mungu hawaridhishi, mwanaume ataweza?

Kwa hiyo hata mungu kawasifia Ndo maana hawaridhiki na alivyowaumba?
Wewe unadhani ni kwanini wanayafanya hayo?je wanahisi kuwa wanachukiza mbele ya macho yenu ndio maana wanafanya?la kwakua wanahisi mnapendezwa na hayo makalio makubwa wakati hawana na mchina yupo[emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
seriously.....Mungu tumemweka mbali sana wanadamu.tumekuwa Wa ajabu kweli
 
Tusi jipya kabisa la mwaka 2017.......Linaweka ukomo wa nyuzi za siridhishwi na mume wangu.
 
Katika hali ya kawaida kimaumbile mwanamke ameumbwa na urembo wa asili, ukikuta mwanamke ambaye hajatumia aina yeyote urembo wa mchina anapendeza, anavutia na hata harufu yake ni ya asili, anavutia hasa,

Ila hawa wanawake unakuta sura ishakula mkorogo, nywele za marehemu, kope za shetani, kucha za jini, lips utafikiri zombie, makalio mchina, kiuno amekibinua utafikiri mcheza pool table, miguu imeoshwa na maji ya betri yaani mwili wote kaazima kwa mchina, halafu mnalalamika wanaume hawawaridhishi, Mungu ameshindwa kuwaridhisha, wanaume tutaweza kweli?
HahahahahahHah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Katika hali ya kawaida kimaumbile mwanamke ameumbwa na urembo wa asili, ukikuta mwanamke ambaye hajatumia aina yeyote urembo wa mchina anapendeza, anavutia na hata harufu yake ni ya asili, anavutia hasa,

Ila hawa wanawake unakuta sura ishakula mkorogo, nywele za marehemu, kope za shetani, kucha za jini, lips utafikiri zombie, makalio mchina, kiuno amekibinua utafikiri mcheza pool table, miguu imeoshwa na maji ya betri yaani mwili wote kaazima kwa mchina, halafu mnalalamika wanaume hawawaridhishi, Mungu ameshindwa kuwaridhisha, wanaume tutaweza kweli?
kwetu tunasema maneno kuntu
 
tafuna papuchi tokomea,hayo mengine waachie wenyewe waendelee kuimpress waowaji
 
81c909c986c8202480e60f1b26d39c11.jpg
48_amoxicillin.jpeg
 
Back
Top Bottom