Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,982
Ujumbe umefika
Sidhan kama kunawatu wanaangalia wadhifa wa ndani miaka hii, maana wanaume walio wengi wanaongozwa na tamaa na wanajali sana mionekano yetu ya nnje....Mtu akikupenda kwa wadhifa wako wa nje, atakuacha kwa wadhifa wako wa nje.
Atakaekupenda kwa wadhifa wako wa ndani, atakuacha kwa wadhifa wako wa ndani..!
Of the same feathers, flies together.
Tumia muda mwingi kujitengeneza ndani kuliko nje.
Your quality is inside you, and it last longer..
Uzee haudanganyiki
wapo ndio!Sidhan kama kunawatu wanaangalia wadhifa wa ndani miaka hii, maana wanaume walio wengi wanaongozwa na tamaa na wanajali sana mionekano yetu ya nnje....
Mmh okay, may be ur one of themwapo ndio!
lakini wanawake cheap hawawezi kuwapata coz they are not cheap, they are expensive, their quality is at ultimate level.
Lakini bado point ni ile ile, the birds of the same feathers, fly together..
Kama mwanamke ni cheap, atapata cheap mwenzake, na akimpata expensive man, hawatadumu.
Kama hauna uwezo na excuse,waachie wenzio wanao weza.Katika hali ya kawaida kimaumbile mwanamke ameumbwa na urembo wa asili, ukikuta mwanamke ambaye hajatumia aina yeyote urembo wa mchina anapendeza, anavutia na hata harufu yake ni ya asili, anavutia hasa,
Ila hawa wanawake unakuta sura ishakula mkorogo, nywele za marehemu, kope za shetani, kucha za jini, lips utafikiri zombie, makalio mchina, kiuno amekibinua utafikiri mcheza pool table, miguu imeoshwa na maji ya betri yaani mwili wote kaazima kwa mchina, halafu mnalalamika wanaume hawawaridhishi, Mungu ameshindwa kuwaridhisha, wanaume tutaweza kweli?
Kwa hiyo hata mungu kawasifia Ndo maana hawaridhiki na alivyowaumba?Unahisi wangekua peke yao duniani wangehangaika na hayo yote?ninyi haswa ndio chanzo cha hayo yote...mnawasifia ndio maana wanazidisha[emoji41]
Kwa sababu hawaridhiki na maumbile aliyowaumbia mkuuHahaha, eti "Mungu ameshindwa kuwaridhisha"...
Waweza kuwa sahihi though!!!
Hii mashine nimeikubali.. Ntakupata wapi? Ntaauza hata nyumba ya urithi ..Acha kunisema,kisa uliniona mara moja ndio unakuja kulalamika humuView attachment 471339