Pole mkuuDaaaa kaka sio kwa kuponda huko umenifanya nimecheka sana mpaka watu wamenishangaa
Mkuu wewe ni jinsia gani?? Maana ulivyoandika, hauko upande wa ke wala meUnahisi wangekua peke yao duniani wangehangaika na hayo yote?ninyi haswa ndio chanzo cha hayo yote...mnawasifia ndio maana wanazidisha[emoji41]
Unataka great thinkers ya namna gani?haya mambo yanafanyika na yanaonekana hadharani,unataka tunyamaze kimya?haiwezekaniHii ndio the great thinkers .Tutafika kweli?
Soma kwa umakini utagundua jinsia yangu mbona inajieleza bayana.Mkuu wewe ni jinsia gani?? Maana ulivyoandika, hauko upande wa ke wala me
Iyo ni mutu au sokweAcha kunisema,kisa uliniona mara moja ndio unakuja kulalamika humuView attachment 471339
Iyo ni mutu au sokwe
Kabisa na wakimkuta mwanamke yuko natural hawawi na habari naye kabisa.
Wao ndio chanzo hivyo wakae tu kimya