Kabisa na wakimkuta mwanamke yuko natural hawawi na habari naye kabisa.Unahisi wangekua peke yao duniani wangehangaika na hayo yote?ninyi haswa ndio chanzo cha hayo yote...mnawasifia ndio maana wanazidisha[emoji41]
Ukuntu uko wapi sasa?Maneno kuntu kabisa.
Unadhani hadi anajipara hivyo ujue aliye naye karidhika na anamridhisha pia.Halafu analalamika mme wangu haniridhishi! [emoji10];
Ameharibika mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kunisema,kisa uliniona mara moja ndio unakuja kulalamika humuView attachment 471339
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipatie namba zake, naoa kabisa huyu
WALA HATURIDHIKI WENGINE. SANA TUNACHUKULIA HUYU HANA HESHIMA NI MTU RAHISI WA KUMT.... NAHANA TOFAUTI NA WENGNE WANAOJITEMBEZA KWANI NDIO WANAOFANYA HIVYO. NIMESHANGAA HATA WASOMI WANAJIKOBOA NDIO USEMI WANAWAKE MWALIMU WAO MMOJA UNATAKA KUJIDHIRISHA HAPAUnadhani hadi anajipara hivyo ujue aliye naye karidhika na anamridhisha pia.
Mtu akikupenda kwa wadhifa wako wa nje, atakuacha kwa wadhifa wako wa nje.Kabisa na wakimkuta mwanamke yuko natural hawawi na habari naye kabisa.
Wao ndio chanzo hivyo wakae tu kimya
MmmhhhhWALA HATURIDHIKI WENGINE. SANA TUNACHUKULIA HUYU HANA HESHIMA NI MTU RAHISI WA KUMT.... NAHANA TOFAUTI NA WENGNE WANAOJITEMBEZA KWANI NDIO WANAOFANYA HIVYO. NIMESHANGAA HATA WASOMI WANAJIKOBOA NDIO USEMI WANAWAKE MWALIMU WAO MMOJA UNATAKA KUJIDHIRISHA HAPA
Acha kujistukia ww cici tunataka kitu naturalKabisa na wakimkuta mwanamke yuko natural hawawi na habari naye kabisa.
Wao ndio chanzo hivyo wakae tu kimya
Pole najua unaumiaUnadhani hadi anajipara hivyo ujue aliye naye karidhika na anamridhisha pia.
Kujistukia kwa sababu gani labda?Acha kujistukia ww cici tunataka kitu natural
Usilolijua siku zote lazima likisumbuePole najua unaumia
Anasema wana muedit eti..Ameharibika mbaya