Mengi kawanunua kote huko hata Upaleke ushahidi huwezi kusikilizwa ,Mengi huwa hafichui Maovu kama unavyojidanganya bali hukimbilia Kupakaza Ubaya kwa wananchi pindi akitaka Kitu kisha Akakikosa ni bonge la Mnafki mkubwa, Rostam alijua kuwa asipompa Rushwa Mengi ni Lazima angepakaza kila kona hasa ukizingatia kuwa walikuwa ni maadui wakubwa. Tatizo lenu wafuasi wa Mengi hamtaki kukubali kuwa Baba yenu Mengi ni mwizi no one, wewe Umekariri kuwa Mengi ni MUNGU na kisha la analosema linatoka Mbinguni hata uambiwe nini hutaweza kubadilika.
Kweli mengi kawanunua wote kawazidi adi serekari duh. Noma sana sasa wewe umejuaje kama kawanunua wote
Mengi sio Mungu ila nyinyi mnataka kumpaka matope bila kua na ushaidi
Fisadi hatuoni kesi yake ya kifisadi
Mwizi hatuoni kesi yake ya wizi
Mnyonyaji mnajua nyinyi sisi tunaona anavyowasaidia watu wenye matatizoo
Mmpandikizwa chuki bila kua na ushaidi duuh
Eti rostam kampa mengi rushwa ili asiseme ufisadi wake ili hari tunajua wazi hao wawili hawaivi chungu kimoja
Kuweni na hoja za mashiko mnapoanza kumchafua mtu