Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

Alafu fahamu kuwa Maswi ni mtumishi wa umma tofauti na Muhongo.HATA HVYO JK KAMSIMAMISHA MASWI KELELE TU ,HAKUKUWA NA SABABU KAMA ILISHAWEKWA WAZI ESCROW HAIKUWA YA UMMA.

Nani kakudanganya escrow sio pesa ya uma?hebu soma mijadala, tumechoka kuwaelekeza
 
kwahiyo Maswi alivyosimamishwa kazi amebainika kukosea nini?au pale hajawajibishwa?na kama amekosea ina maana Muhongo hana kosa ila maswi ndo ana kosa?[/QUO
TE]

Maswi hajawajibishwa bali amesimamishwa(suspension) kupisha uchunguzi.NA MSHAHARA HAUJASIMAMA.

hujui maana ya kuwajibishwa kaa pembeni niongee na wanaojenga hoja
 
Kwa kua umekiri report za cag,pccb hazijamtaja muhongo nami naomba tuliachie hapo. Pili hakuna report ya tra,labda kama unayo yako uiweke hapa.

Hoja yako kuijustify na kamati ya pac na bunge kwa ujumla,nikuachie mwenyewe,binafsi sichukulii kila kinachosemwa na bunge kama ndio ukweli wenyewe,wabunge hawa wanaoongozwa kwa hisia,ushabiki,rushwa wanaweza kuazimia jambo baada ya kupewa mlungura.

Leo kila mtu anamuona lowasa msafi,mtakatifu wakati bunge hilo ndio lililomchafua kua ni mwizi miaka kadhaa iliyopita,wabunge hao wanaopitisha bajeti baada ya kupewa chochote,kumbuka kesi ya jairo kutafta pesa awahonge.

Nipe hoja nyingine ila kutumia bunge kujustify hoja yako naona una matatizo.

sasa kama hujui maana ya report tutaongea nini mimi nawewe?unasema TRA hawakuwa na report?

report
rɪˈpɔːt/
verb
[COLOR=#878787 !important][/COLOR]

  • 1.
    give a spoken or written account of something that one has observed, heard, done, or investigated.



ingia hapa.
https://www.google.co.tz/?gws_rd=ssl#q=meaning+of+report
 
Nimepiga SINGE kichwani mwako na Tumboni mwako nipo nimetulia ndiyo maana wewe bado unaomwabudu Mengi kwa kumuona ni MUNGU na njia sahihi yakijukomba kwa Mengi ni kujitoa Fahamu na kuwapinga watu juu w

Ndo nini sasa au wewe ndo wale mitume na manabii
 
Kuwa muelewa wewe, Jairo alipisha uchunguzi ndiyo, lakini mwisho wa siku akapewa notification ya kuwajibishwa!
Kwani vipi? Angalia comment ya pili na tatu baada ya thread utagundua nilichomaanisha.
 
Back
Top Bottom