Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Amewajibishwa Maswi na watendaji wendine wa Tanesco kwa utendaji mbaya wa Wizara ambayo anaiongoza Muhongo. Muhongo yupo kiporo anazunguka kama pia. Sasa wanapoandika waandishi wa Habari wa IPP kwa nini tunakimbilia kusema ni Mengi? Kwani wale waandishi wa IPP hawajui kutafuta habari na kwamba Mengi ndo anawatafutia habari? Kwamba Mengi kakosa Vitalu ndo maana anamshambulia Muhongo? Leteni ushahidi hapa muache hapa. Mimi naamini CAG, PCCB, TRA na Bunge hawakuwa Vihiyo kusema fedha ni za umma kwamba Muhongo awajibishwe. Na basi mtuambie kwamba Mengi aliwahonga CAG, PCCB, TRA na Bunge ili waseme kwamba pesa ni za umma. Muhongo yupo kulinda maslahi ya wakubwa na msimsingizie Mengi, mmeharibu wenyewe. Muhongo must GO.
 
Hata Jairo alisimamishwa kupisha uchunguzi.
 
Mengi mpuuzi sana.
 
Mengi ni zaidi ya jambazi na fisadi namba moja.
 
Mengi mpuuzi sana.
Unajua ni watu wa CCM ndo wanasema Mengi ni Mbaya. mbona hamsemi CAG, PCCB, TRA na Bunge ni wabaya. Mengi amewachoma nini? Leteni ushahidi basi na sisi tujue ubaya wake. Ila sisi CAG, PCCB, TRA na Bunge wametuambia Muhongo no mtu mbaya na uhahidi upo. Leteni na wa kwenu.
 
Parameter tatizo lako tunalijua..umeoza kuanzia upande wa nyuma kuanzia kiunoni kushuka chini kidogo..hivyo hatupati shida na comment zako za kumtetea mumeo!!ulimwengo unajua mr.mengi ni muadifu...msafi...hana chembe ya udalali
 
Nikweli mkuu hujakosea kabisa!! Vipi umeshajifungua?
 
Mengi mwizi tu. Dawa yake muhongo hahahaha
 
Mengi mwizi tu. Dawa yake muhongo hahahaha

Mengi kaiba nini?vitalu ni mali ya Tanzania na Mengi ni mtanzania,kuna ubaya gani akitaka kitalu?ujue kipimo cha akili ni kidogo sana?
 
Nani asiyejua kuwa Mengi anaingilia sana majukumu ya wahariri wake? Msituletee porojo hapa. Huyo ndiye anayetoa maagizo kwa wahariri ili waandike kile anachotaka yeye. Alijifanya kujitetea kule Uingereza alipofungua kesi dhidi ya yule mama wa Kiingereza na kupeleka timu yake ya wahariri lakini akaumbuka. Mengi hafai. Full stop.
 
Kwani bunge na mkuu wa nchi aliyesema hazikuwa za ummah nani mkubwa zaidi..... Hiyo tipoti ya CAG,TRA,PCCB ambazo ni controversial zinajikanyagakanyaga haziwezi hata kuwapeleka watu mahakamani. Msilete uhuni kama mengi anapenda sana kuishauri wizara ya nishati na madini kwa nini asiwe waziri kivuli wa nishati na madini. Magazeti ya ipp siku hizi ndo yamejua kumkumbusha mkuu wa nchi kuhusu majukumu yake. Mbona hamkumbushi kuhusu ujenzi wa maabara, visima, ujenzi wa mitambo ya gesi pale kinyerezi .... Wajinga wataaendelea kuimba nyimbo za mengi sisi ngija tufanyr kazi
 
Back
Top Bottom