Kama mshindi ndo huyu aliyeshindwa yupoje

Kama mshindi ndo huyu aliyeshindwa yupoje

Huyu ndie yule mbunge wa ufilipino. Alienda bungeni akiwa na hali hiyo spika aliahirisha kikao kwani wenzie walimcheka sana.
 
Huyu ndie yule mbunge wa ufilipino. Alienda bungeni akiwa na hali hiyo spika aliahirisha kikao kwani wenzie walimcheka sana.

Duh!!! hizi fiksi teh teh!!!
 
Duh! Sasa hapo ndo anacheka kuwa kashinda au. Aliyepigwa atakuwa aliotea tu ngumi moja takatifu ikawa K.O maana sipati picha kama ilikuwa pound to pound na huyu ndo mshindi.
 
Tehe tehe tehe tehe tehe,mh hilo ni pambano la MORTAL COMBAT.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom