Mmoja wa vibaka aliyeuliwa 29/10/2025.

Mmoja wa vibaka aliyeuliwa 29/10/2025.

Mzee Kitinku

Member
Joined
Sep 23, 2026
Posts
53
Reaction score
159
Kwa maelezo ya Shehe Mwaipopo pamoja na mashehe wengine wa BARKWATA, Huyu ni mmoja wa Vibaka waliouliwa kihalali na Serikali ya Muislam mwenzetu aliyeshindwa kumaliza eda yake.
1793434570521.jpg


Allah atusaidie sisi waislam tuache unafiki.
 
Shekhe mwaipopo napenda kumkumbusha asidhani kwa sharifu majini ilikuwa bahati mbaya

Duh, Kwa tafsiri hii labda ndio maana anamiliki mbwa mwitu wake ili kisije kumkuta kama kilichomkuta swaiba wake.

Lakini tusimlaumu naye akija kulipiza kisasi juu ya madhira yaliyompata swaiba wake ( kulingana na ulichokisema kwamba haikuwa bahati mbaya kwa Sharif Majini).

Kwa nikivyoelewa na kutafsiri ulichosema, maana yake sasa kumbe kuna zaidi ya haya tunayoyajua yaliyojificha 29 Oct.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Back
Top Bottom