Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,478
- 29,193
Zaidi ya kubambikia kesi watu ukachero una tekniki gani bana mpk uuone wa maanaHuwezi kumtaja informer,utakuwa umemsaliti na pia ni kinyume cha sheria.
Wewe tulia maana huujui ukachero na kanuni zake.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app