Kama Mrosso anadai Ole sabaya alitishia kumpa kesi ya Uhujumu uchumi ndipo akatoa tsh 90m, Inawezekana hata kesi ya Mbowe ina mkono wa DC!

Baada ya kufuatilia kwa makini ushahidi wa Mrosso kwenye kesi ya Sabaya nimegundua inawezekana ni kweli watu huwa wanabambikiwa kesi kwa maslahi binafsi.

Sasa ndio najiuliza ni nani alitoa taarifa polisi kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitaka kumuuwa mkuu wake wa wilaya mh Lengai Ole Sabaya?

Ni tafakari pana sana.

Maendeleo hayana vyama!
Ukweli mbowe anaonewa
Haingii akilini eti kukata miti barabarani na kuchoma vituo vya mafuta, laki sita ya kufadhiri ugaidi.
 
Wewe unaongelea mhemko tu.
Mimi nimekueleza ki taaluma!

Sasa wewe endeleza mihemko yako na wahemkaji wenzio!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Taaluma ndo hizo alizokua anasema mbunge mashimba kumfundisha mtu miaka mitatu Mambo ya procurement aaaaf hajui chochote, nakuuliza kitaalam je polisi hua wanabambikia watu kesi au hakuna
 
Baada ya kufuatilia kwa makini ushahidi wa Mrosso kwenye kesi ya Sabaya nimegundua inawezekana ni kweli watu huwa wanabambikiwa kesi kwa maslahi binafsi.

Sasa ndio najiuliza ni nani alitoa taarifa polisi kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitaka kumuuwa mkuu wake wa wilaya mh Lengai Ole Sabaya?

Ni tafakari pana sana.

Maendeleo hayana vyama!
Huu ndio mpango uliokuwa unaratibiwa na yule SADIST PRESIDENT ku eliminate watu fulani fulani hivi. Sasa kawaachia moto vijana wake. He thought he will endure forever.
 
Back
Top Bottom